Recent content by JAGAJU

  1. J

    JamiiForums Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Kwa mtazamo wangu iko hivi, nchi za ulaya miaka ya hivi karibuni wamepokea wakimbizi wengi sana kutoka maeneo ya afrika na middle east, na wao wenyewe wamekuwa wakisema wanataka sharia law ndio mbadala wa future ya ulaya. sasa hii ajenda anazidi kukua kwenye miji ya london na Paris naeneo...
  2. J

    JamiiForums Godbless Lema amesema Katiba mpya haitsaidia bila mabadiliko ya fikra

    Ila katiba Mpya nafikiri inatokana na fikra huru. So itaweka msingi imara watu kubadilika, majukwaa huru ya kuwaza tofauti, uhuru wa mawazo na maoni.
  3. J

    JamiiForums Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Mwanaume anaye ishi kwa hisia au seriously jari hisia zake zaidi kutumia akili yake an Hisia ni uongo. kwa wanaume hisia ni wrong version ya mwanaume.
  4. J

    JamiiForums Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Wanaume tumekuwa tukiongozwa na hisia siku hizi kama wanawake. Ni vema tuka chukua muda kutafakari suala la sisi kuacha kutumia hisia na kutumia akili, Hekima, busara, logic nk
  5. J

    JamiiForums Serikali iondoe kodi kwenye vipuli na mashine kwa vijana wanaoagiza nje ya nchi ili kuinua sekta ya viwanda

    Natumaini maoni haya yatawafikia, ili vijana tutimize malengo yetu, Nashukuru sana Mkuu
  6. J

    JamiiForums Serikali iondoe kodi kwenye vipuli na mashine kwa vijana wanaoagiza nje ya nchi ili kuinua sekta ya viwanda

    Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha sekta ya viwanda itakayo saidia kukuza uchumi na kuongeza ajira.
  7. J

    JamiiForums Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    Mimi natumia Mimi natumia Huawei kwa kweli nimeielewa Sana. Kwanza Haifi labda ufe wewe itabaki kwenye list ya mirathi.
  8. J

    JamiiForums Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna movie moja imetoka last week inaitwa Hotspot. Ndo inaweza jinsi Ai itakavyotawala Dunia nyakati za mwisho. Itafuteni Ndugu hebu tafuta hii movie imetoka siku kadhaa zilizopita, angalia mwenyewe future ya AI itakavyokuwa na hatari yake
  9. J

    JamiiForums Mikoa 10 inaongoza kwa watu wasiojua kusoma na kuandika

    Kutojua kusoma au kuandika Hakuna dini Mkuu.
  10. J

    JamiiForums Vijana wanaosema wanatengeneza website bure ni matapeli

    Nashukuru kwa kunifungua macho yaani hapa nilikuwa nasubiri logo ikamilike nimtumie kwenye whatsapp aendelee na kazi.
  11. J

    JamiiForums Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    wamekupa msaada wa kiimani.. tayar.. lakini hebu jaribu hili kwa ajir yako.. jaribu kuomba likizo ya kama mwezi hv.. ukatafakar kwa kina ushaur ulopewa hapa.. nenda mbali na usiwe na simu.. uko ukatengeneze marafiki wapya then.. ukirud utakuwa umekusanya nguvu mpya za kushikiria ndoa yako.
  12. J

    JamiiForums Ajira Utumishi - Recruitment portal

    wakuu mbona leo nimeingia kwenye website yao hakuna application on line yaan hakuna vacancy kwa sasa na wakati kuna tangazo lao la 6/05 na mwsho wa kutuma n 20/05..
  13. J

    JamiiForums Housegirl kanichanganya sana!

    huyo hg kwel hamnazo.
  14. J

    JamiiForums Usimshirikishe sana mwanamke wako kwenye mambo yako ya pesa

    kumshiriksha au kutomshirikisha inategemea aina ya mwanamke maana wengine ukiwambia umepata vimilion kadhaa na unafikiria kutafuta kakiwanja yeye anafikiria kununua nguo 'nipe kabisa laki mbili zangu nashida nazo' na hapo bila kumpa ugomvi hauishi
  15. J

    JamiiForums Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    hv huyu faizafix n raia wa wap..? kama n mtanzania huna haki ya kudharau elimu yetu kiasi hiki! kisa kujua kuandika aina ya vibarua.. wapo wanaojua zaid yako hawaongei.. mi natamani npate chance ya kuasses uwezo wako someday..
Back
Top Bottom