Recent content by jacspyro

  1. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Kaa na ujenge nami

    Hapa sasa ilitakiwa uje na maelezo kufafanua kipi amepigwa na ilipaswa iwe vipi. Tofauti na hapo umeamua tu kwa makusudi kumkatisha tamaa jamaa asitoe taarifa ambazo zingesaidia wengine. Na hii tabia wanayo sana mafundi wetu, wanaficha taarifa ili waweze kupiga watu kirahisi
  2. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

    Kwa iyo urusi itakua imeshafanya yake nini
  3. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Akikujibu nistue
  4. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hilo linawezekana. Kama baadhi ya mataifa makubwa yanaanzisha vita katika nchi nyingine ili wananchi wao na makampuni ya nchi zao waweze kufanya baishara ya silaha. Inashindikana nini mataifa hao kuhujumu baadhi sekta zetu kwa kupitia viongozi ili nchi zao ziendelee kufanya biashara. Ikiwemo...
  5. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Yeye aliua wangapi mpaka kufikia hapo? Na vipi kama kilichomkuta ndio ilikua malipo ya Karma kwake.
  6. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nimecheka, alafu nikaogopa gafla kisha nikabaki nimeduwa. Hakika ni kifo cha kikatili sana.
  7. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

    Mtandao wa android upoje huo,
  8. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nalog off ili niweze kwenda kibaruani
  9. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nalog off ili niweze kwenda kibaruani
  10. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kusingiziwa jambo la uongo katika maisha yako?

    Ilikua shule moja mkoani kilimanjaro , niliahamia pale nikiwa form 5 . Nikakaribishwa na jamaa yangu mmoja niliesoma nae o level mkoani dsm. Akanitafutia chaga tukaweka kwenye kitanda nikawa nakaa nae room mmoja, kwenye hiyo room nilikutana na jamaa wengine wawili kutoka dsm,na mmoja kutoka...
  11. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

    Mimi najiuliza hawa wajuaji wameliona hili kwenye msiba wa magufuli tu au hata kwa nyerere walikwazika??
  12. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama Janeth Magufuli asingesubiri msiba Chato?

    Wachambuzi wa mambo ya kisiasa hawana tofauti na wachambuzi wa mambo ya mpira, yani timu ifungwe ama ishinde hayatakosekana ya kuongelea kwenye hiyo mechi. Mkijitoa nyinyi mnaolalamika mama anateswa kisa amehudhuria hapo dodoma, wangekuja wengine kulalamika kama asingekuwepo hapo leo.
  13. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    [emoji38][emoji38] naratibu sasa usije niua, nimekosea badala ya kum quote yeye nimeku quote wewe. Sorry kaka!
  14. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Kwani wewe ni muhalifu wa mtandaoni mpaka umeacha kutumia hizo social platform. Au uligundua nini hatarishi kwa upande wako ukaacha kutumia??
  15. jacspyro

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufanya computer ziweze kuwasiliana kwa kutumia switch au hata wireless

    Hiyo simple networking inahusiana vipi na c++
Back
Top Bottom