Recent content by Jackyten

  1. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa shule nzuri sekondari private kwa mkoa wa Shinyanga na Mwanza

    Msaada ndugu nataka kufahamu shule za private ambazo zinafanya vizuri kwa kidato cha nne ila ziwe katika mikoa ya Mwanza na Shinyanga ada isizidi 1,500,000/=
  2. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Bila shaka atakuwa Mnyika
  3. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Kusahau ni ugonjwa, Unawezaje kusahau masuala ya msingi.?
  4. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Natafuta bata (bukini)

    Natafuta bata aina ya bukini nataka kununua mwenye nao au anayefahamu sehemu walipo tujilishane.
  5. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya kawaida ya nyumbani Raisi Magufuli akiwa mapumziko.

    Ndio, sema yeye alikua anaenda kula bata ulaya na Marekani. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  6. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Hivi weupe ndio urembo au?

    Kwetu usukumani weupe kwa mwanamke ni dili hata dau linapanda. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  7. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Magufuli inatisha, vinara wa IPTL hawakupata hata ‘tip-off’!

    Sasa hapo ndo hatujui kama aliambiwa nini mwanamke na maofisa usalama.
  8. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Waliopinga Wanyama asipewe mtaa walisema si uzalendo, Je Gor Mahia nao si wazalendo kwa kumpa Magufu

    Sasa wanyama katufanyia nini hata kimoja
  9. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Na kama umesajiliwa lakini hujapata certificate???
  10. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Waliopinga Wanyama asipewe mtaa walisema si uzalendo, Je Gor Mahia nao si wazalendo kwa kumpa Magufu

    Wanyama kafanya kitu gani cha ajabu?? Kucheza spurs!!!! Magufuli nani asiyemjua Afrika hii kwa juhudi zake kupambana na wahujumu uchumi hata south atapewa mtaa, lakini kwa nini hasa wanyama kafanya kitu gani hasa!!! Kachukua hata uchezaji bora was Afrika!??? Haya miaka ya badae mwanao anakuuliza...
  11. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Meya Ubungo: RC amelazimisha bango la mtaa wa Wanyama kuondolewa, kisa waliomleta ni Clouds Media

    Wanyama kafanya kitu gani cha kupelekea apewe mtaa bongo??? Kufadhili ndondo cup ama!!?? Kwa nini asiwe Samatta aliyeleta tuzo ya Afrika hapa nyumbani. Wanyama ni nani hasa kwetu sisi!!! Acheni upuuzi msishobokee watu au hao wameoewa chochote kitu!! Tuambieni kwanza anamchango gani katika hii nchi?
  12. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Smart move by Magufuli! Kuna mtu aliyeliona hili?

    Kwanini aliyekuwa Mwanasheria mkuu hajatiwa mbaroni
  13. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za wanaume wa shoka

    Ni maneno mawili tu KA- TA
  14. Jackyten

    JamiiForums Tanzania Swali: Smelter ya Makinikia itazuia kusafirisha madini nje ya nchi?

    Kabla hujatoa mada jitahidi uwe unafuatilia mambo!!!! We upo nchi gani..??? Ushaambiwa kuanzia July kuna utratibu wa kuclear madini kabla hauajasafirishwa ili wakate kodi kutokana na thamani take, Na kama haitoshi kwa Mara ya kwanza JPM karuhusu mjadala wa sheria ya madini kwenda bungeni...
Back
Top Bottom