Majukumu ya kawaida ya nyumbani Raisi Magufuli akiwa mapumziko.

hahaha hapana siingii sana hku!iqweke hapa nicheke nife mie lol!
tmp_7113-tmp_26911-FB_IMG_1498118208769-1652845665-1105348537.jpg
 
hahahahahahahahha km maiti iliyosimama! hahaahah ww francis unazipata wapi hizi !hahhaa chek mikonon ilivyomvaa! hahahahah kweli kanzu zina wenyewe! kha!huenda hana damu ya nguo!
 
Kidume huyo.. hakika tumepata Rais. Najivunia kuwa Mtanzania kwa sababu yake JPM.
 
hahahahahahahahha km maiti iliyosimama! hahaahah ww francis unazipata wapi hizi !hahhaa chek mikonon ilivyomvaa! hahahahah kweli kanzu zina wenyewe! kha!huenda hana damu ya nguo!
Punguza uchochezi
 
Nafikiri ht wanamuuzia nguo wanamjua jamaa hapendi kubanwabanwa ni mwendo wa nguo za kukua nazo sijui bado anakua?
 
Tcno tupo wengi humu

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom