Smart move by Magufuli! Kuna mtu aliyeliona hili?

kutokumteua mwanzoni ndiyo ingekuwa calculated move otherwise ni blah blah
Imagine,vp kama Muhongo angekuwa ofisini leo?Huoni suala hilo lingeleta tension kwa serikali ya JPM?Yaani watu aliowadalalia Muhongo wamekamatwa na kunyimwa dhamana na mahakama,halafu refer wa game yuko ofisini,huoni kuwa JPM angekuwa kwenye mazingira mabaya kisiasa?Niambie,sasa hivi nani amemzungumzia Muhongo?Hii move imechezwa kwa akili kubwa,ndio maana hata wewe bado huamini!
My speculation ni kuwa,Mara ya kwanza Rais alimteua Muhongo sababu hakuwa na full intel ya ushiriki wake zaidi ya tuhuma!Amejua issue hiyo kiundani baada ya uchunguzi wa Takukuru!
Think big
 
Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!

JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!

Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!

JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!

Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
Kwanini aliyekuwa Mwanasheria mkuu hajatiwa mbaroni
 
Kwa hiyo unataka kusema Muhongo aliepushwa na scandal? How is he going to escape now? What about Kitwanga? etc etc?

Ninachomaanisha ni kuwa JPM kajiepusha na aibu ya kumteua Muhongo kwa mbwembww wakati bunge lilishamwajibisha!Imagine Muhongo atumbuliwe kwa kosa lile ambalo lilitokea nyuma,Rais akamwona mtu safi!
Ingeshusha heshima ya ofisi ya Rais,jaribu tu kufikiria ikulu iandike kumtumbua Muhongo kwa issue ya Escrow,huko bungeni si angesemwa mpaka basi?
 
Mbona bado sijaona u smart unapotokea hapo........
Sema KIKI move tu. Mara hili Mara lile. Kabla halijaisha kashaibua jingine. Yaani mwendo wa tamaa za mbuzi tu kutamani kila jani. Mwisho wa siku hamna kinachofanyika.

Naunga mkono utafiti wa TWAWEZA juu ya mashabiki wa CCM.
 
Inamana hakujua kuwa alitenguliwa uwaziri sababu ya kashfa ya Escrow? Usmart gani huo?
 
Hamna kitu hapo.
Muhongo ndio aliwezesha deal la PAP\IPTL,alikaa kama referee!Hapo aliwakutanisha Seith na Ruge,mchezo ukaisha!Hivi nikuulize,JPM kama angekuwa anajua fika uhusika wa Muhongo kwenye dili hilo angemteua???Issue ya Escrow JPM kaja ijua kwa details late sana!
 
Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!

JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!

Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!

JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!

Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
mkuu, umenilostisha hapo.... kumteua mhalifu kwenye cabinet ni u-smart au umburula?
 
U smart uko kwenye damage control!Amekuja kujua tayari keshachelewa,now how do u clean your hands?Picha imechezwa na imefanikiwa,nimeangalia tokea juzi sakata linaibuliwa,sijaona kashikashi inapelekwa kwa Muhongo!Sasa imagine baada ya hao jamaa kufikishwa mahakamani,Muhongo ndio atumbuliwe,unadhani humu jamvini upepo ungekuwa vipi?
 
Ninachomaanisha ni kuwa JPM kajiepusha na aibu ya kumteua Muhongo kwa mbwembww wakati bunge lilishamwajibisha!Imagine Muhongo atumbuliwe kwa kosa lile ambalo lilitokea nyuma,Rais akamwona mtu safi!
Ingeshusha heshima ya ofisi ya Rais,jaribu tu kufikiria ikulu iandike kumtumbua Muhongo kwa issue ya Escrow,huko bungeni si angesemwa mpaka basi?[/QUOTE
Nimekuelewa lakini sijaona tofauti kwani rais bado ni yule yule na wala hapajapita muda mrefu na alimuweka kwa mbwembwe mno. AIBU BADO IKO PALEPALE. hii habari ya kulindana ndio inaleta mkanganyiko wote huu.
 
Smati muvu, eeehhhh kama alijua kwann alimteua, yani alimteua ili amsurubu
 
Inamana hakujua kuwa alitenguliwa uwaziri sababu ya kashfa ya Escrow? Usmart gani huo?
Jaribu kutulia kidogo kabla hujaandika!Fanya hivi,tuseme sakata la makinikia lisingetokea,Muhongo akaendelea kuwa ofisini!Leo likaibuka hili sakata la Takukuru kuwafikisha Seith na Ruge mahakamani na mahakama kuwanyima dhamana,unadhani hali ya upepo wa kisiasa ingekuwaje?Kuna kitu kinaitwa damage control,unaangusha gari lakini with minimum destruction!
Haya mambo kuyaelewa inahitaji tafakari ya kina!
 
Ni spec
Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!

JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!

Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!

JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!

Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
This is pure speculation though it makes sense!
 
Damage control imefanyika,si unaona watu washasahau habari za Muhongo?
Vipi kama angekuwa ndio katumbuliwa leo,angetoa maelezo gani ya kumtumbua????Angeulizwa maswali gani???Ndio maana nasema "smart move by JPM"
 
Jaribu kutulia kidogo kabla hujaandika!Fanya hivi,tuseme sakata la makinikia lisingetokea,Muhongo akaendelea kuwa ofisini!Leo likaibuka hili sakata la Takukuru kuwafikisha Seith na Ruge mahakamani na mahakama kuwanyima dhamana,unadhani hali ya upepo wa kisiasa ingekuwaje?Kuna kitu kinaitwa damage control,unaangusha gari lakini with minimum destruction!
Haya mambo kuyaelewa inahitaji tafakari ya kina!
Sasa u-smart gani uliotumika?
Ilibidi asingemteua kabisa tangu mwanzo, ukizingatia alichelewa kuteua waziri kwahyo alikuwa na muda wa kutosha kufuatilia TAKUKURU kama zile tuhuma bado kesi inaendelea
 
Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!

JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!

Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!

JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!

Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
Utendaji si ni makinikia hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom