Kauli mbalimbali za wanaume wa shoka

"Mashujaa wanaonja kifo mara moja tu. Waoga hufa mara nyingi sana kabla ya kufikia kifo chao halisi. Kati ya vitu vinavyonishangaza ni wanadamu kuogopa kifo kwani kifo, kitu ambacho ni cha lazima huja muda wowote kwa jinsi kinavyotaka." William Shakespeare katika Julius Kaisari.
Nimeipenda sana hii
 
Jk
0640c00970d5f1b12e4a639fbb438df4.jpg
 
Tukiamua kuzichapa humu mjengoni upinzani mtapoteana maana tukipima wingi wa ngumi zetu sisi chama tawala na zenu tumewazidi mbali sana.marehemu mh john komba
 
Ila katika awamu yake alijitahidi sana ila ndo hivyo ndo tulishaitwagwa kichwa cha mwendawazimu.
Live long mh.dk jakaya kikwete

Tumuombe rais mstaafu Mh.alhaj ali hassan mwinyi atengue hii kauli yake huwenda tukafanya vyema baada ya utenguzi huu wa kauli
Believe me I admire him
Ni Rais mwema sana ila alikosa wa kumsaidia.
Long live JK
 
Back
Top Bottom