Recent content by jackson kanene

  1. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Tumekaaaa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lipumba aitaka CHADEMA kusuluhisha mgogoro na Zitto Kabwe

    Vp Mbona hata wangwe nae ilikuwa hivyo hivi,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lipumba aitaka CHADEMA kusuluhisha mgogoro na Zitto Kabwe

    Ben Kwani cku 14 hazijaisha??mfukuzeni aende ADC there nakuhakikishia jimbo kama /iringa mjini,nyamagana,ilemera,arusha mjini ,na ubungo yakiludi chadema nakupatia mshahara wangu wa miez 2 ,siasa imewapiga jumbo hao wote muu lize vicent Nyerere alivyo saidiwa na huyo zitto 2010.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watu wanaishi maisha ya uwongo na Fitna, Sina tatizo na Dr. Slaa

    Hata ChaCha wangwe alifanyiwa hivi hivi pindi alipoutaka uenyekiti chadema!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Zitto unatisha unapokelewa Kwa matawi ya mitende kama yesu nikushauri 2 hakikisha unafika Mpaka musoma
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

    Mbona sioni bendera za chama???au zilichomwa zote?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekwisha pata mpenzi humu jf atujuze

    Mie nishapata mchumba bt hakuwa tayali kuishi nani akitaka 2gegedane tu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Katika Ulimwengu wa leo, mwanamke mzuri ni yupi?

    Uzuri wa Mwanamke ni Sura na Maumbile mazuri tabia Nitamfundisha Mwenyewe! Kwani mtaani ukiwa na kitu kibovu huwezi kuongozana nacho kwenye sherehe.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume miaka 54-58

    Humu duniani kuna v2ko,umri huo ili achape kimoja analala then ufaidi urithi kwanin usitafute kijana mdogo umtunze wewe !
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

    mungu ni pendo! Anaweza kukuonyesha pendo usipotalajia.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

    inakupasa utambue kuwa hatupangiwi miaka! 2po wachache tu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

    weee!Tutor B,Nagusa lakini siyo kama zamani! Coz huku pwani mapenzi lazima uwe na pesa tofaut na nyumbani mara! waweza ukachimba hata miez 3 bure
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

    teh teh teh' Sangarara ,kwani kwa wasabato hakuna wazinzi na Washerati?tena nilikuwa sec mwana Assa' bt kwa xaxa nimebadilika najitambua!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

    shukrani za pekee kwa Mwenyezi mungu muumba mbingu na ardhi,kuna pindi nilikata tamaa na maisha bt usilolijua.....
Back
Top Bottom