Aliyekwisha pata mpenzi humu jf atujuze

Mie pia bado,natafuta mke,nahitaji kuoa nitulie. Mimi ni mchaga.

Mchanga na unataka kuoa? Tulia ukifikisha umri wa kuoa ndiyo ufikirie. Hakuna atakaye kubaki kuolewa kwa kichanga kama wewe ulivyosema.
 
Mchanga na unataka kuoa? Tulia ukifikisha umri wa kuoa ndiyo ufikirie. Hakuna atakaye kubaki kuolewa kwa kichanga kama wewe ulivyosema.

Daddo,
Hujasoma vizuri,nimesema mimi ni MCHAGA sio MCHANGA.
 
mimi nina ushahidi ni ndugu yangu wa kike amepata mchumba humuhumu jf, na sasa hivi tunavyoongea mwanaume katuma mshenga kuleta posa. inawezekana ila sio kwa kila mtu. maana watu hamkawii kukariri
 
Wako wengi tu na wengine wameoana na wengine wapo njiani kufunga pingu za maisha.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu cj21125 mimi nimepata mke mwema and it works, nina wa-encourage wana JF wengine wasikate tamaa,am happy like never before,nilipost thread humu JF kilichotokea sikuamini,now am deeply,madly in love with her.

Huwa siamini hiyo kitu. Je Manmaji mmeshaoana au you are just mad for new relationship?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom