Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

Hii siri nimeshindwa kuendelea kuibeba

Umejinadi, khah!

KAribu utuambie na urefu wa spana yako

Hongera lakini

Hii inaukweli jaman msibishe! Mimi mwenyewe ilikwisha wahi kunipata,mwaka 02 nikiwa nyumbani mugumu-serengeti nilikuwa na mahusiano na dada m1 askari magereza akiitwa Mariam seif,nilikuwa na Mahusiano naye kwa kipindi cha miez 9 kumbe yule dada ni muathirika wa virus na hakuwahi kuniambia kabla na mbaya ckuwahi kuvaa condom katika mahusiano yetu, baadae inssue ilienea kuwa yule dada ni muathirika ilinifedhehesha xana na cha ajabu yeye mwenyewe alikiri kwangu kuwa pesa alizokuwa akinipa ni za kununulia sanda kwani anajijua na amekwisha niua cha ajabu hata nyumbani walianza kuninyanyapaa hadi kutengewa vyombo vya chakula ili nisiwaambukize,shuleni pia ilikuwa kasheshe kwani nilikuwa sec pindi hicho pale kisangura,walimu kwa wanafunzi baadhi walionyesha ubaguzi na unyanyapaa waziwazi, kituko ni kwamba,niliamua baada ya kusitisha mahusiano na yule Askari magereza nilianzisha mahusiano na baamed ambaye naye alikuwa ni mwathirika kwa lengo la kujipoza na machungu kwani 2liambiana sote ni carries! Mungu wa ajabu mwaka 05,miaka mi3 baadae nikiwa cjaona dariri za ugonjwa mwilini kwangu na pindi hicho huyo baamed kesha fariki nilipata ujasiri wa kwenda kupima na nikajikuta Negative! Ckuamini matokeo ikabidi niende mwanza kuludia vpmo napo nilienda Angaza nikajikuta mzima,nikajiuliza imekuwaje? Kwani ngono niliyofanya na hao waathirika si salama ictoshe 2likuwa 2kinyonyana sehemu za siri?na ajabu zaidi mwaka 07 nilipata kuondoka na kwenda kufanya kazi kwa mzungu m1 huko porini sharti ni kupimwa damu nilikubali na kupimwa nikaonekana niko fit,baada ya kufanya kazi kwake kwa muda sasa akanipa sponsser ya kusomea ujuzi wa ndege ambayo ni kazi ninayoifanya hadi leo je vjana hamtaki kuamini? Mimi ni mzima kbsa na ninajuta kwa kutaka kujiangamiza maksdi ,damu yangu ni group 0 ve,ulefu ni cm 182.5, nilitahiriwa kimira mwaka 98,ukitaka kujua chochote kuhusu mimi ni pm nitakwambia.
 
kuna watu wameumbiwa ubishi na wanaweza kubisha, lakini nayasema haya toka moyoni mwangu Mimi ni msabato na leo ni siku ya maandalio,ni kwamba kama kuna m2 aliyewahi kuishi wilaya ya serengeti,pale mugumu mjini naweza kutoa ushahidi kwake wa maisha yangu kwani ni kuanzia 2002 hadi 2007,hadi xaxa wengi wananiona kama nina bahati bt ni meamini 2po wachache dunia hii 2lio barikiwa! Kwani hata magonjwa ya kichwa na maralia kwangu huwa ni mala moja kwa mwaka mzima tena dec,mwezi niliozaliwa namshukuru mungu kwa hili.
sijui nikwambieje after 20yrs utaniambia kitu kitawaka tu hicho
 
Hii inaukweli jaman msibishe! Mimi mwenyewe ilikwisha wahi kunipata,mwaka 02 nikiwa nyumbani mugumu-serengeti nilikuwa na mahusiano na dada m1 askari magereza akiitwa Mariam seif,nilikuwa na Mahusiano naye kwa kipindi cha miez 9 kumbe yule dada ni muathirika wa virus na hakuwahi kuniambia kabla na mbaya ckuwahi kuvaa condom katika mahusiano yetu, baadae inssue ilienea kuwa yule dada ni muathirika ilinifedhehesha xana na cha ajabu yeye mwenyewe alikiri kwangu kuwa pesa alizokuwa akinipa ni za kununulia sanda kwani anajijua na amekwisha niua cha ajabu hata nyumbani walianza kuninyanyapaa hadi kutengewa vyombo vya chakula ili nisiwaambukize,shuleni pia ilikuwa kasheshe kwani nilikuwa sec pindi hicho pale kisangura,walimu kwa wanafunzi baadhi walionyesha ubaguzi na unyanyapaa waziwazi, kituko ni kwamba,niliamua baada ya kusitisha mahusiano na yule Askari magereza nilianzisha mahusiano na baamed ambaye naye alikuwa ni mwathirika kwa lengo la kujipoza na machungu kwani 2liambiana sote ni carries! Mungu wa ajabu mwaka 05,miaka mi3 baadae nikiwa cjaona dariri za ugonjwa mwilini kwangu na pindi hicho huyo baamed kesha fariki nilipata ujasiri wa kwenda kupima na nikajikuta Negative! Ckuamini matokeo ikabidi niende mwanza kuludia vpmo napo nilienda Angaza nikajikuta mzima,nikajiuliza imekuwaje? Kwani ngono niliyofanya na hao waathirika si salama ictoshe 2likuwa 2kinyonyana sehemu za siri?na ajabu zaidi mwaka 07 nilipata kuondoka na kwenda kufanya kazi kwa mzungu m1 huko porini sharti ni kupimwa damu nilikubali na kupimwa nikaonekana niko fit,baada ya kufanya kazi kwake kwa muda sasa akanipa sponsser ya kusomea ujuzi wa ndege ambayo ni kazi ninayoifanya hadi leo je vjana hamtaki kuamini? Mimi ni mzima kbsa na ninajuta kwa kutaka kujiangamiza maksdi ,damu yangu ni group 0 ve,ulefu ni cm 182.5, nilitahiriwa kimira mwaka 98,ukitaka kujua chochote kuhusu mimi ni pm nitakwambia.
mimi alikuwepo shemeji yangu mtu mzima naye alifiwa na mume, ambaye alikuwa brother alikuwa ni victim. shemeji alipima na akakutwa yupo fiti mara kwa mara anapopima , lakini takribani miaka 15 mbele mambo yalibadilika kabisa mpaka tukahisi labda alijichanganya somewhere she died na hiyo makitu yaani ni kumuomba mungu kwa kweli na kila unaponusurika tu hapo hapo ni kutubu kwa sana
 
Nasikia ukiwa na Delta-32 mutation katika mwili wako, hiv hawezi ku survive akiingia tu anakufa..

Ni kweli kuna watu wachache duniani wana hiyo kitu, na scientist walishawafanyia research some sex workers in Kenya wakagundua wana hiyo kitu, maana kuna wengine ni prostitutes wa miaka kibao na wameshakuwa exposed na hiv mara nyingi, lakini wapo negative tu...

Mungu ni wa ajabu sana, tumpe heshima yake kwa hilo..
 
Nasikia ukiwa na CR-32 mutation katika mwili wako, hiv hawezi ku survive akiingia tu anakufa..

Ni kweli kuna watu wachache duniani wana hiyo kitu, na scientist walishawafanyia research some sex workers in Kenya wakagundua wana hiyo kitu, maana kuna wengine ni prostitutes wa miaka kibao na wameshakuwa exposed na hiv mara nyingi, lakini wapo negative tu...

Mungu ni wa ajabu sana, tumpe heshima yake kwa hilo..

mungu ni pendo! Anaweza kukuonyesha pendo usipotalajia.
 
Nasikia ukiwa na Delta-32 mutation katika mwili wako, hiv hawezi ku survive akiingia tu anakufa..

Ni kweli kuna watu wachache duniani wana hiyo kitu, na scientist walishawafanyia research some sex workers in Kenya wakagundua wana hiyo kitu, maana kuna wengine ni prostitutes wa miaka kibao na wameshakuwa exposed na hiv mara nyingi, lakini wapo negative tu...

Mungu ni wa ajabu sana, tumpe heshima yake kwa hilo..

I am wonderfully made. haya sio maneno yangu, ni maneno ya Mfalme Daudi hayo, baada ya kugundua kwamba kapewa unlimited potentials.
 
Hakuna mahali wanaimanufakchwa? Nataka kuinywa. Mchina ngejua jinsi ya kuitengeneza angetajirika

Nasikia ukiwa na Delta-32 mutation katika mwili wako, hiv hawezi ku survive akiingia tu anakufa..

Ni kweli kuna watu wachache duniani wana hiyo kitu, na scientist walishawafanyia research some sex workers in Kenya wakagundua wana hiyo kitu, maana kuna wengine ni prostitutes wa miaka kibao na wameshakuwa exposed na hiv mara nyingi, lakini wapo negative tu...

Mungu ni wa ajabu sana, tumpe heshima yake kwa hilo..
 
kwamba kule kwetu'
kuna kijiji ambacho lile gonjwa haliingii
yaani linaishia mpakani
kwa hiyo nyie ni kwenda free na kujiachia
hata ukipita kwenye moto hauungui
je ulishawahi kupasikia hapo?
Habari yako Mamndenyi. Copy imenifikia.
Naomba kuswalisha swali, hivi hapa mna discussion kitu gani?
 
Back
Top Bottom