Recent content by jack chance

  1. J

    Hongera ufoo saro

    Huyu dada Mtangazaji wa ITV nadhani inabidi apewe pongezi kwa jinsi alivyojitoa muhanga kutangaza habari za CDM wakati wa uchaguzi hadi sasa, amezunguka mikoa yote na viongozi lakini kikubwa ni kule kutoa habari bila kuchakachua ukilinganisha na vyombo vya habari vingine. hongera dada!!!
  2. J

    Naomba mwenya CV ya Nape Nnauye

    Ha ha ha haaaaaa, haya bwana, mi napita tu
  3. J

    Naombeni cv ya mama anna mkapa

    Ndugu wadau naomba yeyote mwenye CV ya mama Anna mkapa ili niweze kufuatilia issue fulani
  4. J

    Ushindi wa Kupita bila Kupingwa Ludewa wapingwa mahakamani

    safiii Mr Mtitu Kaza buti haki ipatikane kwa wana Ludewa wote, wilaya yetu ipo nyuma sana miaka yote sababu ya kutokuwa nawatu makini tunachotaka si mtu mwenye fedha bali mwenye best strategies za kuikomboa Ludewa, kidogo Prof. Mwalyosi alijaribu hilo lakini huyu wa sasa anataka kutumia cash...
  5. J

    GE2010 Chadema yashinda Meatu

    Hatimaye tbc imetangaza meatu imekwenda chadema kwa kura 13,200
  6. J

    GE2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Habari nilizozipata kwa njia ya simu toka kwa mtu wangu wa karibu huko singida ambaye anafuatilia kwa karibu matokeo ni kuwa Tundu Lisu amepeta naye Misanga wa CCM singida kusini chaliii, mgombea wa kusini kupitia chadema sijapata jina lake.
  7. J

    GE2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Habari nilizozipata kwa njia ya simu toka kwa mtu wangu huko singida ambaye anafuatilia kwa karibu matokeo ni kwa Tundu Lisu amepeta naye Misanga wa CCM singida kusini chali, mgombea wa kusini kupitia chadema sijapata jina lake
  8. J

    GE2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Wadau mliopo shinyanga tupeni data za huko
  9. J

    Peter Selukamba wa Kigoma mjini asusia kusaini matokeo!

    Data mkuu kama upo hapo ili tuende systematically
  10. J

    GE2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Jamani tunapo toa taarifa DATA NI MUHIMU SANA
  11. J

    GE2010 Happy Birthday Dr. W. P Slaa

    Happy birthday Mr Slaa, wishing God's blessing
  12. J

    GE2010 Dk Batilda Burian kuwalipia vijana wote Arusha kodi ya nyumba wakimchagua

    Nimesikia kuna mkakati kabambe wa kuiba kura hapa arusha, namwomba Ndg G. Lema na kamati nzima ya ushindi CHADEMA iweke mikakati madhubuti kwa siku hizi zilizosalia ili hata kura moja mwaka huu isiibwe au kuongeza kura feki, mwana Arusha mwenye simu ya Leme tupeane ili data tunazopata...
  13. J

    GE2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

    turushie picha za umati mkuu p'se
  14. J

    GE2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

    Tupeane ratiba ya vipindi hivyo vya TV na ni TV gani zinahusika maana sijaona programme maalumu ya kampen kwenye tv. tujulishe mkuu p'se ili tuchangie fedha ya kurusha vipindi hivyo dakika hizi za mwisho
Back
Top Bottom