Peter Selukamba wa Kigoma mjini asusia kusaini matokeo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Selukamba wa Kigoma mjini asusia kusaini matokeo!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTOKAJASHO, Nov 1, 2010.

 1. M

  MTOKAJASHO Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgombea wa ubunge wa kigoma mjini haamini anachokiona kwenye matokeo na kugomea kusaini. mwaka huu mimi nasema mpaka kieleweke tu.
   
 2. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Tupe statistics mkuu!!!
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tupatie data mkuu!!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,858
  Trophy Points: 280
  Yaelekea kuna mkakati wa CCM kukataa matokeo sasa sijui hilo litawapeleka wapi?
   
 5. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ujiji kwetuuu ....... na akimaliza huyo nakwenda kuchukua jimbo hilo kwani nimechanjiwa kuwa mbunge wa eneo hilo.
   
 6. j

  jack chance Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Data mkuu kama upo hapo ili tuende systematically
   
 7. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,821
  Trophy Points: 280
  Pumbavu anadhani yeye ndo alizaliwa kuongoza
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wanaweweseka balaa, wanaona ni miujiza
   
 9. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60  Safi sana huyu mnafiki ameshindwa!!! safari hii upinzani mwendo mdundo.

  Upinzani juu !!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  nadhani hii ndio strategy yao mwaka huu sitashangaa hata JK nae akigoma kusaini..
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Watajua wenyewe, watajua wenyewe, kama Tume ya uchaguzi yao.
   
 12. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuna kitu kubwa inakuja, inakuwaje wote wagome kusign, mhmm na hao nec si wana matokeo yote,sasa kwanini hawatangazi mshindi hata kama wanagoma kusign, mungu mkubwa sana
   
 13. M

  MpitaNjia Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inabidi na yeye apelekwe Bugando alazwe sambamba na Lawrence Masha..... tehe tehe tehe tehe tehe
   
 14. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanataka tu kusign wanapopita au, naona hili limekuwa systemic problem kwa ccm. Chakachua haikuwaokoa mybe
   
 15. N

  Njaare JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Huyu si ndo alichaguliwa na wananchi ili akawatumikie halafu akaenda kuwatumikia mabwana zake (mafisadi)!!!!!!????

  Kwanza nilishangaa hata kitendo cha yeye kupita kwenye kura za maoni. Niliwashangaa sana wana CCM.

  Pia nitawashangaa watu wa kigoma kama atapata hata asilimia ishirini.
   
 16. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,785
  Likes Received: 6,277
  Trophy Points: 280
  Kama mawakala wamesaini na msimamizi mkuu kasaini, yeye ni nani bana mpaka akatae? dogo kibri ilizidi mno. Waha walikuwa wanaonekana kama wakulima flani hivi na sasa wameamua. Kuna hatari MKOA Mzima ukawa umechukuliwa na wapinzani.

  Kasulu mjini na vijijini - NCCR MAGEUZI kote kote. Tena kule vijijini kachukua mama mmoja ambaye mgombea wa CCM alikuwa anamponda ati ni ''standard seven na atakuwa anashangaa mataa tu ndani ya mjengo!

  Kibondo mjini na vijijini - NCCR Mageuzi & CHADEMA. Ntagazwa Chali

  Kigoma kaskazini - CHADEMA (Zitto)

  Kigoma kusini - NCCR Mageuzi

  Kigoma Mjini - CHADEMA?? Serukamba atasaini tu by the time ndoto yake itakapokwisha
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Asaini tu,hayo ndiyo mambo ya CHADEMA!!!!
   
 18. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  Asaini tu kwani alizaliwa kuwa mbunge?
   
 19. TGS D

  TGS D Senior Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumsemelee kwa Shimbo!!
   
 20. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wamesahau kuwa walitukana mamba kabla ya kuvuka mto. hawa si walitukana sana Chadema ngoja wakione, washatia aibu hadi wanayarudia matapishi yao. maana walisema wapinzanio wajiandae kukubali matokeo

  huo ndo ushindi wa lazima
   
Loading...