Year of manufacturer 2001,km 147,000
Speed Limit 220
Manual transmission, Fuel :petrol
No history of Road accident, no mechanical fault/damage to Engine,Price 16M,
Owner Contact :0789737699, location Mwanza.
Huyu Bibi Post Menopause inamsumbua, hata kama wanatofautiana kisiasa,hapaswi kumdhalilisha Rais wa Nchi kiasi hicho, kadhalilisha pia wamarekani wengi waliomchagua, thats too extreme, tena kwa kufanya hivyo ndiyo anazidi kumtengenezea Trump mazingira ya kuendelea kubaki kwenye Oval office...
Hii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time...
Huu uhasama wa Waisrael na Wapalestina unaelezwa kwamba mnamo mwaka 1948 waisrael walivamia ardhi ya wapalestina na kuikalia kwa mabavu, inaelezwa pia waisrael walikuwa utumwani huko ulaya mashariki, Poland, Germany, na kwingneko, inaelezwa kwamba huko
Ujerumani mtawala wa kipindi hicho Adolf...
Sure, sometimes siyo kila jambo ni ya kujibu, hata kukaa kimya ni busara. Kwa kuendelea kuliongelea hili ,the Government is playing his tunes, lakini pia kwa sasa inaonekana ni vita ya kiimani ambapo hakuna Serikali umewahi kuwa na mwisho mzuri kwa kuanzisha vita ya...
Nimekuwa nikifuatilia Mjadala unaondelea kati ya Askofu Kakobe na Serikali, nafikiri hoja ya Askofu Kakobe kwamba viongozi / Kiongozi wa Serikali atubu imesikika kama kweli kuna jambo linalohitaji kutubu, Viongozi wa Serikali hawapaswi kujiona wao ni malaika hawatendi...
naomba niseme sina maslahi binafsi na msanii Elizabeth Michael "Lulu" ila ninaguswa na wakati mgumu anaopitia na ukilinganisha na umri wake mdogo, pia napenda kuona haki ikitendeka kwa marehemu Kanumba "justice for Kanumba " na kwa vile kesi ipo mahakamani tuuache mahakama...
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu majibishano na mipasho ambayo anayejiita Askofu Gwajima na watu mbalimbali wanaotofautiana nae,a.k.a bifu, amekuwa akitumia mtaji wa forum ya waumini wake kuwaattack wagomvi wake non stop, ambapo hao victims bahati mbaya hawana forum ya kufight back, matokeo...
Sote tunashuhudia jinsi makamanda wa jeshi la Polisi mikoani wanavyokamata kete za madawa ya kulevya ikiwemo bangi, hii itaokoa nguvu kazi kubwa ya Taifa ambayo ingepotea, the initiator and the hero behind ni Mh Makonda, yeye ndo amekuwa na uthubutu wa kumfunga paka kengere, yeye ndo...
Kwa hili LA madawa ya kulevya wote wameungana bila kujali itikadi zako za vyama, they r all against makonda, wakiwa kwenye kamati zao za huduma za jamii wanakuja na mapendekezo kibao na wanajifanya wana uchungu na maisha ya kijana walioathirika na madawa,wanasima kuchangia hoja Wote wanasema...
Kwa hili LA madawa ya kulevya wote wameungana bila kujali itikadi zako za vyama, they r all against makonda, wakiwa kwenye kamati zao za huduma za jamii wanakuja na mapendekezo kibao na wanajifanya wana uchungu na maisha ya kijana walioathirika na madawa,wanasima kuchangia hoja Wote wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.