Marekani: Spika Nancy Pelosi achana nakala yake ya hotuba ya Rais Trump Bungeni

coyyote

Member
Aug 12, 2018
53
88
Nancy Pelosi amechana nakala yake ya Hotuba ya Rais Donald Trump mara tu baada ya Rais huyo kumaliza kuhutubia

Rais Trump alitoa hotuba kuhusu ‘State of the Union’ Bungeni mbele ya Wabunge walionekana kuipigia makofi hotuba yake


Kwenye Kikao hicho cha State of The Union Bunge pia litajadili kuhusu Kesi ya Impeachment inayomkabili Rais Trump

Mapema kabla ya Trump kutoa hotuba hiyo, alimpita Spika hiyo aliyekuwa akimpa mkono wa salamu na haijawa wazi kama Rais Trump alipuuza au hakuona jaribo la Spika kumsalimi

1.jpg
******

President Donald Trump ignored -- or didn't see -- House Speaker Nancy Pelosi's attempt to shake his hand before Tuesday's State of the Union address in an apparent snub that comes more than a month after House Democrats impeached Trump.

Immediately after Trump finished his speech, the California Democrat stood up behind him and ripped her copy of the speech in half before tossing it aside. A source close to Pelosi told CNN's Dana Bash that the speaker ripping up her copy of the speech was not planned and that Pelosi was angry at Trump's address.

While it remains unclear whether the President avoided Pelosi's handshake on purpose, tension between the White House and the California Democrat has heightened considerably in recent months after the House -- under Pelosi's leadership — investigated Trump's conduct regarding Ukraine. In December, House Democrats approved two articles of impeachment against Trump.

A Trump adviser told CNN's Jim Acosta that by apparently ignoring Pelosi the President missed an opportunity to heal a divided nation.

"The country seems very, very divided but I think Trump made a mistake not shaking her hand," the adviser said, while also faulting "the Democrats by being so silent and not clapping on even nonpartisan lines."

Following the speech, Pelosi tweeted, "Democrats will never stop extending the hand of friendship to get the job done #ForThePeople. We will work to find common ground where we can, but will stand our ground where we cannot."

Pelosi confirmed to CNN earlier Tuesday that she hasn't spoken to the President since the infamous White House Syria meeting in October, following which the White House released a picture of her standing up and pointing at him, which she immediately owned and placed prominently on her Twitter page.

"You mean where he circulated the picture of my saying 'All roads lead to Putin,' that one? Is that what we're talking about? ... We haven't spoken since then," Pelosi said.

The lack of communication between Trump and Pelosi is especially striking given the high-profile events that have taken place since that time, including the killing of top Iranian commander Qasem Soleimani and ISIS leader Abu Bakr al-Baghdadi.

On Sunday, Trump said he will likely have a difficult time working with Democrats after his expected acquittal in the five-month impeachment saga on Wednesday.

"I'd like to, but it's pretty hard when you think about it, because it's been -- I use the word witch hunt, I use the word hoax. I see the hatred. I see the -- they don't care about fairness, they don't care about lying," Trump told Fox News.

"You look at the lies, you look at the reports that were done that were so false. The level of hypocrisy. I'm not sure that they can do it, to be honest. I think they just want to win, and it doesn't matter how they win."
 
Wakati Rais Donald Trump alipokuwa akitoa hotuba State of Union imeonekana wazi taifa hilo kubwa na mfano mkubwa wa Demokrasia duniani imeingia kwenye chuki za kisiasa kubwa. Spika Nancy Pelosi alijaribu kumpa mkono Rais Donald Trump lakini alikataa kumpa mkono.

Spika Nancy Pelosi naye aliamua kupasua hadharani nakala ya hotuba aliyopewa na Rais Donald Trump.
Ikumbukwe Spika Nancy Pelosi alipeleka muswada wa kumuondoa Rais Donald Trump lakini muswada huo umetupiliwa mbali na baraza la Senate nchini humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Bibi Post Menopause inamsumbua, hata kama wanatofautiana kisiasa,hapaswi kumdhalilisha Rais wa Nchi kiasi hicho, kadhalilisha pia wamarekani wengi waliomchagua, thats too extreme, tena kwa kufanya hivyo ndiyo anazidi kumtengenezea Trump mazingira ya kuendelea kubaki kwenye Oval office, au ameishaona motive yake imeshindwa.Shame on her and Democrats
 
Atawapa wakati mgumu sana democrats kwenye uchaguzi huu. Impeachment trial imeenda kinyume kabisa na walivyotarajia. Alitegemea kesi kuleta damages kwa upande wa Donald lakini mambo yamegeuka.



Sent using Jamii Forums mobile app
Wagombea wao wenyewe hawaqeleweki hadi sasa,yaani hawaaminiki..Zile swing states kuna uwezekano Trump akashinda kote.Unajua wamarekani wanapenda kujua mgombea amesimamia nini hasa.

DNC wenyewe hawaaminiki,wana scandal za ku ridge kura za wagombea wao..This time babu Sanders hatakubali tena,Sababu kuna dalili wanataka kumpiga figisu wampitishe Biden
 
Democrat imeharibiwa na barack obama ambaye ndo chanzo cha yote haya, obama alisimama kwenye kampeni kuwashawishi wamarekani awaachie mrithi lkn wamarekani wakakataa kuchaguliwa mrithi.

Obama baada ya kuangukia pua,ndiye aliyewadanganya democrat kuwa watamuondoa trump kabla ya muda wake. Obama alikuwa anaamini trump hana akili ya kuongoza us.

Hakujua km trump ni akili kubwa kuliko alivyokuwa anamdhania. Akina nancy pelosy na wenzake walilishwa sumu kuwa watamng'oa trump na sasa hawaamini kinachowapata.
 
Back
Top Bottom