Recent content by jabali gumu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sisi tunasuasua kujenga DAR-CHALINZE highway, Uganda wanajenga kuliko NAIROBI-THIKA SUPERHIGHWAY

    Sisi kipaumbele chetu ni bomoabomoa kwanza.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta aifungia tena timu yake

    Kwahiyo ngapi ngapi mkuu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu wamegundua dawa ya HIV na hawatuambii?

    Mzizi mkavu njoo huku mkuu.uchangie mada.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa bili DAWASCO Tabata ambayo nilishalipa kupitia Max Malipo

    Dawasco Tabata hatuwaelewi.Nilikuwa nalipa bili yangu ya maji kupitia Max malipo kila mwezi. Leo nimeenda ofisini kwao nimekuta bili yangu ipo vilevile, niliwauliza pale ofisini sikupata jibu la kuridhisha. Sasa nauliza wahusika wakuu tatizo nini?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Bandari kushuka, wengi sasa kupitia Mombasa

    Jipu wameshalitumbua Hilo.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Miaka mitano wanapima mafuta kwa kijiti? Hivi hakukuwa naserikali kipindi hicho mpaka huu ujinga unafanyika?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Maswi,Mohongo watu walipiga kelele sana juu ya teuzi zao,ona sasa wanachofanya.Mhmagu Uwe unasikiliza sauti za watu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Umenena vema mkuu huyo waziri aliunguza Picha atumbuliwe jipu kama wanavyotumbuliwa wengine
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

    Nikweli kabisa mabalozi wengi tabia zao zinafanana, nilikuwa Brazil miaka michache iliyopita nilikwenda ubalozini katika wa Brasilia kumuona balozi kupata msaada nipate emergency travel document nirudi nyumbani baada ya passport yangu kuharibika na nilikuwa nayo akaizuia nakuniamuru niondokehapo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rachel Mashishanga, Christowaja Mtinda wahama CHADEMA na kujiunga CCM

    Huyu dada bora alivyoondoka,hakuwa na msaada wowote ndani ya chama japo alikuwa Mbunge viti maalum.anaishi Tabatakimanga lakini tangia aupate ubunge vitimaalum chama alikiweka kushotowkushoto kabisa hapa alipotokea kimanga hata ukimuukiza kiongozi wa kata hawezi kumjua licha mikutano yate ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania BAKWATA waunga mkono Uchaguzi Kurudiwa Zanzibar

    Bakwata ni kikundi cha wachache kwa faida ya wachache
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yalaani udhalilishaji kwa viongozi wake unaofanywa na viongozi wa CCM

    Hawa polisi wetu ndio mana tunasema wanatumiki,katika uchaguzi wa kutafuta Meya wa Ilala Madiwani wa ccm walileta fujo ndipo Mkurugenzi akaagiza vyombo vya dola vifanye kazi yake lakini hatukuona askari yeyote aliyejitokeza kuwadhibiti lkn ingekuwa madiwani walioleta fujo ni wa upinzani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kubenea na Jacob 'wasambaratisha' uchunguzi Kinondoni

    Kubenea wabane hao mafisadi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania True: Uso kwa uso na nyoka msalani

  15. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uhamiaji, chungulieni na TACAIDS mchunguze matumizi ya pesa za UKIMWI

    Wagonjwa hawapati msaada wa aina yeyote zaidi ya wafanyakazi wa kitengo hichi kujinufaisha wao, mimi ni shuhuda pale Amana Hospital.
Back
Top Bottom