Mbwana Samatta aifungia tena timu yake

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Mbwana Ally Samatta leo tena kafanya yake.Katika ushindi wa timu yake leo bwana mdogo kapigw goli lake moja.
image.jpeg
 
Samata Mungu akubariki Dogo.
Huo ndio mwanzo,waliobakia tufate nyayo zakeeee.
Ukiwa na Managers wazuri na kukubali kubadilika tabia ndio njia kuu ya mafanikio kwa wachezaji wetu.Kubweteka kwingiii.Mtu akifika Simba na Yanga anaona amefanikiwa
 
dogo kamua mawakala waje wabebe wengine huku mkifika hata saba naamini Timu ya Taifa itakua Nzuri tuu..una kiwango cha kucheza ligi yoyote ulaya..
 
Huyu dogo ni noma hatakaaa hapo genk muda lazima ulaya wamtake
 
Back
Top Bottom