jabali gumu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 229
- 46
Nilitahamaki mpaka sikuona tena umuhimu wa kujisaidia nimekuja kubanwa na haja tena leo asubuhi[/QUO mwaga mafuta ya taa kwenye shimo km yupo atachomoka
Nilitahamaki mpaka sikuona tena umuhimu wa kujisaidia nimekuja kubanwa na haja tena leo asubuhi[/QUO mwaga mafuta ya taa kwenye shimo km yupo atachomoka
Hanamama watoto wako sijui aliogopaje kama baba ni hivi!
Kwa hiyo sasa hiyo leo asubuhi umeenda kujisaidia wapi? Kwa jran?Nilitahamaki mpaka sikuona tena umuhimu wa kujisaidia nimekuja kubanwa na haja tena leo asubuhi
Kiongozi huyo nyoka uliekua ukimrukaruka Masaa yote alikua ni aina gani!!!au alikua keshajifia siku nyingi!!!wanchekesha sana
vip hukukimbia na kimba linaning'inia kwa nyuma..?
hilo hata mimi nshakutana nalo ilkuwa usku lkm mm nlmkuta mlangoni nkamluka nkamwaga kojo kwanza alaf nkatoka nje tena kwa kumluka nkatafta zana nkampeleka kwenye ulimwengu wa kifo..
Huyo si anaongea tu kutu enjoy eti nyoka amruke na ye amwangalie tu nyoka sio mnyonge kihivoKiongozi huyo nyoka uliekua ukimrukaruka Masaa yote alikua ni aina gani!!!au alikua keshajifia siku nyingi!!!
sijui alkuwa wa aina gani coz me so mtaalamu wa nyoka ila alkuwa na rangi nyeusiKiongozi huyo nyoka uliekua ukimrukaruka Masaa yote alikua ni aina gani!!!au alikua keshajifia siku nyingi!!!
Upo sahihi kabisaHawa waliotahiriwa hospitalini wana tabu...sisi wa jandoni ndio kwanza ningepiga vigere gere kucheza nae sindimba.......yaani huyo nyoka huko alipo anacheka mpaka kavunjika mbavu....
mkuu hata skani yenyewe asubuhi nlpowatel hawakuamn coz wanajua me muoga knyama ila walmchek nyoka tu alshakufaHuyo si anaongea tu kutu enjoy eti nyoka amruke na ye amwangalie tu nyoka sio mnyonge kihivo
labda atakuwa nyoka wabandiaHuyo si anaongea tu kutu enjoy eti nyoka amruke na ye amwangalie tu nyoka sio mnyonge kihivo