Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Huyu waziri alikua anaujua uozo ulioko Bandarini. Ni kwanini amuandae huyo mtendaji mkuu wakala wa vipimo? Huyu waziri ni miongoni mwa mawaziri wanaomhujumu Rais Magufuli! Hii ni aibu kubwa kwa mtu mwenye dhamana kubwa kama waziri na hii ni kukosa uaminifu katika kazi za umma.

Hii tabia inatakiwa ikomeshwe mara moja na wengine wajifunze, Waziri mkuu anwajibishe huyu waziri aliyetuma hiyo sms! Maana idingetumwa hiyo sms pengine hali ingekutwa mbaya zaidi na Waziri mkuu kuijua hali halisi ya mazingiza haya.

Nadhani waziri mkuu mwenyewe amejionea na amesikika jinsi snavyohujumiwa na wenzake wazi wazi! sasa achukue hatua mara moja.Hizo flowmetres zingine inamaana isingetumwa sms zote zingekutwa zimegandiana kutu hapo.
 
Kama sio Mwakwembe, ni Muhongo. Ninaota Kwa sauti tu
 
Awajibishwe vp wakati mzee magu alisema hakutakuwa na semina kwa mawaziri watajifunza huko huko kazini, hata huyo wazir alikuwa hajui taratibu hizo kwa sasa ataelewa na hata rudia kosa
 
Back
Top Bottom