Nadaiwa bili DAWASCO Tabata ambayo nilishalipa kupitia Max Malipo

jabali gumu

JF-Expert Member
Aug 18, 2013
229
46
Dawasco Tabata hatuwaelewi.Nilikuwa nalipa bili yangu ya maji kupitia Max malipo kila mwezi.

Leo nimeenda ofisini kwao nimekuta bili yangu ipo vilevile, niliwauliza pale ofisini sikupata jibu la kuridhisha.

Sasa nauliza wahusika wakuu tatizo nini?
 
Mkuu,dawasco no jipu baya Sana.Mwezi was pili maji yametoka mara mbili tu kama sikosei lakini nimeletewa bill ya Sh 52,000.January yalitoka Kama sikosei Mara nne bili nayo ilikuwa over Sh 52,000.Umeme huwa natumia kwa mwezi Sh 30,000 tu.Hii inanipa uhakika kuwa Dawasco wana matatizo makubwa Sana.Nimeuliza majirani zangu ambao nap wanazo ama tanks za chino au simtanks wao wanasema bili huwa hazizidi Kati ya Sh 11,000 na Sh 20,000.Sasa naanza kula nap sahani moja.Nilikuwa sihangaiki kusoma mita, sasa tutajuana vizuri.Haiwezekani umeme unaowaka 24 hours kwa mwezi nitumie not more than 25,000 halafu maji yanayotoka Mara nne tu kwa mwezi niletewe bill ya zaidi ya sh 50,000.Wizi huu was wazi.
 
weka mita, kama unayo uwe unaisoma wakati mwingine huwa wanabambika bili au mita yao itakuwa na matatizo
 
We rudi reception then waambie jipu lao lipo puani then jifanye unatwanga simu kwa mtumbua majipu uone sekeseke lake kama lile la panya road ....
 
weka mita, kama unayo uwe unaisoma wakati mwingine huwa wanabambika bili au mita yao itakuwa na matatizo
Rodrick, hawa jamaa most likely huwa wanakadiria tu bill,wala hawasomi mita.Hivi sasa nimesharekodi meter yangu.Nawasubiri walete bill nyingine ya mwezi Machi kwasababu tangu mwezi Machi uanze hakuna tone la maji lililotoka.Nakwambia sasa hivi huku mbele tutafikishana kwa waziri kwasababu access hiyo ninayo.Na jambo LA kushangaza ni kwamba hata mimi ni hukuhuku Tabata.
 
Dawasco sjui wamekuwaje jana wananiletea bili laki nne na nusu ya mwezi march tupo wapangaji 3. miezi yote bili tunalipa elf 20 hadi 18 hawajamaa wanaitaji kutumbuliwa wamekaa kiujanja ujanja sana
 
Hawa DAWASCO wanajambo wanalitafuta na mda si mrefu wataliapata.
Wanafanya kazi kidwanzi mno. Sijui nani kawaloga hawa jamaa. Wajilekebishe basi.
 
mimi kuna mdada kila mwezi bill ni ile ile juzi nikasoma namba za mita nikaibuka nazo pale kawe yaani palichimbika
 
Dawasco Tabata hatuwaelewi.Nilikuwa nalipa bili yangu ya maji kupitia Max malipo kila mwezi.

Leo nimeenda ofisini kwao nimekuta bili yangu ipo vilevile, niliwauliza pale ofisini sikupata jibu la kuridhisha.

Sasa nauliza wahusika wakuu tatizo nini?
Mi nawaelewa
 
Back
Top Bottom