huu nu kweli, hata m,ahala bosi mkubwa kama managing director sijui CEO akiwa mwanamama angalia ufanisi wake unakuwaje!
wanakuwa na vijimajivuno vya ajabu, madongo hayaishi humo ofisin yan, nyodo tuu! yale yale ya wakina blandina nyoni lolz!
yan hekaheka tuu mwanzo mwisho, umbea, majungu, midomo...