Tuliosoma Jangwani, Kisutu na Shaaban Robert tupo humu?

Hakuna jipya kwenye hizo shule....tafuta waliosoma Mazengo...Vs...Msalato au Tabora Boys Vs Tabora Girls Enzi hizo uone maisha yalikuwaje
 
Radhia ulikuwepo Jangwani enzi za mama Mkamati?
uliyaona yale maajabu ya chura kujipaka poda?
 
Shule zote hizo umesoma wewe?
Au ulihama? Shabaan Robert wauza sura tu hao kina TID.
TID wa shebby alikuwa mkali wa wakali!dah...unga noma!!!TIDY...kuna mkali mwingine A level akaenda mary mary!mkulasi kaijage a.k.a kelvin garnet!dem mmoja kiwango lorna brown!
 
Da mkuu Muuza sura sijasoma kabisa hapo upanga near TTCL S.R,tidy unga umemlostisha,najua tu huyo dogo alipiga xul hapo,nilipiga azaboy enzi hizo 1995 form uno.
 
Aza pound!we mjanja bab!95 ndo maconcert kibongobongo yanaanza na waandaaji walikuwa jangwani secondary school kuna maduu kina cindy mwandanji!azania mpaka tambaza miaka hiyo wakali kina saigon wa diplomatz ndo wanarun pande hizo!matamasha yao korean culture!
 
Yeah dat wassup Muuza Sura,pande hizo ilikua balaa yani makonset ya kufa mtu kina saigon kina kiada man full shangwe mwana.
 
Back
Top Bottom