Recent content by ITSNOTOK

  1. I

    Once Again: CHADEMA will show the Nation that the will pass this test

    wewe ni j.u.l. s.h.o. n.z.a eeh!!!
  2. I

    Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

    Nitaungana na wewe kama utaacha kugeuza maneno na hoja zako kwenda kusiko na tija(udini). Jadili hoja tu usitaje udini.
  3. I

    Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

    Kama kweli upo hapo unaishusha hadhi ofisi ya Serikali kwa uchangiaji unaoutoa - unategemewa kuwa mjumbe wa kuelimisha namna ya kujadili hoja sasa wewe ndio kwanza umeng'ang'ania udini. Unatakiwa kuelewa kuwa unachokisema ni hatari na kama hujui ni hatari sana.
  4. I

    Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

    Maneno haya hayana mvuto kabisa kwenye nchi tunayoitaka. Kwa nini kila kitu unakigeuzia kwenye udini, ukabila, kwa nini usiongelee hoja bila kutaja udini tena, ' mkristo mwenzako' hiyo kitu ni ya nini. tumetoka kwenye matatizo hayo, mbona bado unayapenda. Hebu siasa iseme siasa na dini itasemwa...
  5. I

    Biashara ya internet

    Ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya Internet cafe pale Morogoro Mjini. Ingawa bado hajapaelewa sana juu ya utumiaji / uhitaji wa huduma hii pale. Lakini vile vile, anafahamu TTCL ndiye pekee wanaoweza kumsaidia kumuuzia muda wa internet (hasa ile huduma yao ya NDUKI). Tafadhali...
  6. I

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Aisee naona uko sahihi bado sijasikia hata sehemu moja!
  7. I

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    mimi pia napenda idea hii, ila ninachosikitika hivi sasa hadi kwenye daladala unapanda unakuta rekodi za mihadhara kukashifu ukristu( ipo siku ilifikia watu ambao nategemea ni wakristu waliamua kufungua nyimbo za dini kwenye simu zao kufuatia kanda iliyowekwa kuwa inakashifu ukristu). Nimekuwa...
  8. I

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Mama yangu anazidiwa na kisukari hivi sasa licha ya kuendelea kupata matibabu katika hospitali ya amana, anapoteza uzito kwa kasi sana sana. Anayefahamu lolote tafadhali - nakwama.
  9. I

    Meno ya Tembo yageuzwa makopa

    Kuna habari kwamba kuna basi la Buffalo linalofanya safari zake kutoka Dar es salaam kupitia Lindi, Mtwara Mpaka Tunduru lilikamatwa mwaka jana (2011) Masasi likiwa na Meno ya Tembo. Baada ya kukamatwa inasemekana kesi ilifunguliwa pale Masasi (Mtwara) na baadae kuhamishiwa Mtwara. Taarifa...
  10. I

    Zitto Sio wa Muhimu Kiasi Hicho

    Sijawa na mengi sana ambayo nayajua kuhusiana na Zito. Lakini katika wale CHADEMA 100% zito si mmoja wao kwa sasa ninavyoona mimi. Hayo maneno kwenye bold hapo juu ndiyo hasa niliyoyafikiria kuhusu yeye kwa muda mrefu kidogo. Nakumbuka kuna mgogoro wake na CHADEMA uliwahi kutokea hapo kabla, hii...
  11. I

    Manji kafanya aliyofanyiwa Muro, nani anamlinda?

    Inasikitisha sana. Lakini ni wakati wa sisi wananchi kuamka hata kwa maandamano kuwahoji polisi WAMEFIKISHIWA TAARIFA NA VIELELEZO JUU YA KAGODA mbona hayashughulikiwi. Hii inatosha kwanza kumpa support Mtanzania mwenzetu kwa kujitahidi kutaka kulinda mali ya mtanzania. Lakini pia ingempa kusita...
  12. I

    Mikoa gani watu wao wanaishi kwa furaha Tanzania

    MABARA GANI WATU WAO WANAISHI KWA FURAHA DUNIANI ULAYA ==INAONEKANA WANAISHI KWA RAHA KWA KUWA HAWAPIGANI SANA, WANAHESHIMU HAKI ZA BINADAM AMERICA YA KASKAZINI==NAO WANAONEKANA KUWA WANA RAHA NA HAWANA MATATIZO AFRICA == NI BARA LA WATU WALIOKATA TAMAA, WANAPIGANA SANA, HAWAPENDANI, HAWAHESHIMU...
  13. I

    kumbe mnaoishi dar kuna raha hivi!!!!!

    Unajua sio suala la kujitakia, unakuta mmejaa sana kwenye basi hilo, mguu hauwezi kutembea kwenda mbele au nyuma, ulikogeukia ndio kuna mtu kama huyo, bahati mbaya zaidi ukute height yako na huyo zinalingana au kupishana kidogo kiasi kwamba ...eneo maalumu.... linafikiwa, gari haitulii...
Back
Top Bottom