Once Again: CHADEMA will show the Nation that the will pass this test

Once Again: CHADEMA will show the Nation that the will pass this test

, Kusema ukweli, kama ZZK angejikalia kimya, yaani asingeijibu ile thread ile, haya mautumbo utumbo yanatumbuka sasa, yasingelitumbukia humu jf!, wangeyamaliza wenyewe kwenye vikao vyao!. Now the pandora box is wide open!, utumbo wote nje, na mainzi ya humu jf yanavyozongea huo utumbo!. Mpaka kero!. Mimi wasiwasi wangu ni huyo mpasua utumbo saa8!, wenzao CCM wanawakolimba watu wa aine yake, lakini Chadema, wanawangwe!, wasije wakamwangwe!. P.
te teh..pasco kumbe huwa unajua makamando wako wanapofungua tumbo n akuuacha utumbo nje ready kwa kuutumbua?Hembu niambie EL bado amebakia na kiasi chochote cha subira cha kuweza mpitisha zaidi ya 2015?kama hapa tuu JK angepewa miaka 3 , mzee wa monduli angekufa kwa kuishiwa na subira na kinywaji. Labda tukiwapa poll katia yake na Zitto ktk kukosa uvumilivu na kuw ana appetite kubwa ya uongozi, unadhania nani atashinda kwa appetite?tafahdali usiende mbali kuuliza kama ZZK atadedicate kwa dame wake urais akiupata or kwa dictator zenawi, au kwa JK or no PM wa Malaysia?
 
Alipoingia tuu Kinana na Mangula, EL is done!, although he is the best that CCM has, but unfortunately he is not the chosen one!.

Ukiondoa usaliti wa masalia kutaka kutuchafulia ZZK wetu, kwa Chadema, ZZK is still the best you have and second to none!. Huyo kijana aliyemchafua ZZK, hebu msubirie uone hata kama panya atapona nyumbani kwake!. Wee subiri tuu uone!.

P.
 
Alipoingia tuu Kinana na Mangula, EL is done!, although he is the best that CCM has, but unfortunately he is not the chosen one!. Ukiondoa usaliti wa masalia kutaka kutuchafulia ZZK wetu, kwa Chadema, ZZK is still the best you have and second to none!. Huyo kijana aliyemchafua ZZK, hebu msubirie uone hata kama panya atapona nyumbani kwake!. Wee subiri tuu uone!. P.
teh teh..Pasco ninachokupenda ni kwamba ukiamua kuwa mkweli unakuwa mkweli. haswaHata pale choices zako zikiwa ni loosers. Nini kinakuvutia ktk hizo choices?Niliwahi sikia jamaa wananiambia ni washabikiwa QPR, wengine Bluckburn, wengine wa Lipuli(ten ajuzi tuu jamaa alikuwa kainitajia mastaa wake kwa mbwembwe huku lipuli sijui ipo wapi na update anazipata wapi) wakati hayupo Iringa. Hivi Mzee wa matunguli , tishio kwa mudhihiri kakuvutia nini?Au hiyo fani unahisi itasaidia sana maisha yako mjini kama jamaa ataipata na mtunguli kuwa fani rasmi kitaifa?Kipindi Jk ana black mail taifa kuna wtau walisema JK anakwenda disco kwa hiyo disco litathaminiwa, wadada wote waliokuwa wamehamia rasmi ktk u-miss ambao kwa mademu ulishaanza kuwa kama MBA walisema akiingia utapigwa jeki.Akina mama wakasema ni lovely na handsome pengine akiingia watafantasy zaidi, now Zitto nadhania waganga watatembea kifua mbele na Albino watapigwa marufuku kama si kuwa viumbe vinavyotoweka.
 
Sa mbona na wewe unaongeza mautumbo humu, kwani ulitakaje? ben asitumbue mautumbo, hizi no zama za ukweli na uwazi. Nimeona unasema umaarufu wa Zitto unaongezeka, una maana negatively au positively?

Sioni kama kuna maana yoyote kwa wewe kumshauri zk asijibu kila utumbo kwa sababu that is obvious hana uwezo wa kufanya hivyo hata kama angependa, it goes without saying.
Pasco naomba unipe muktadha wa mada yako? What exactly d'you want us to discus?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Lukanso, kiukweli mimi ni mgumu sana kueleweka kwa urahisi, wanaonielewa ni wachache sana humu na hao wanatosha, muda wako wa kunielewa ukifika na wewe pia utanielewa, kwa sasa tusiendelee kujaza mainzi kwenye haya mautumbo yaliyokwisha tumbuliwa!.
Pasco.
 
Mkuu Lukanso, kiukweli mimi ni mgumu sana kueleweka kwa urahisi, wanaonielewa ni wachache sana humu na hao wanatosha, muda wako wa kunielewa ukifika na wewe pia utanielewa, kwa sasa tusiendelee kujaza mainzi kwenye haya mautumbo yaliyokwisha tumbuliwa!. Pasco.
teh teh..huyo ni pasco bana
 
Nicholaus,
matumaini yangu ni kwamba viongozi wa chadema wameyasikia yote yaliyozungumzwa humu, kwa habari zilizopo ni kwamba ben saanane anafahamika vizuri kwao, wakitaka undani wa habari hizi wanaweza kumwita na kumhoji..zitto pia yupo wananafasi ya kumhoji pia..
ombi langu kwako na kwa wanachadema wengine hebu tuwaachie wahusika walifanyie kazi sisi tujikite kupambana na adui yetu mkuu CCM, kwa sasa wamerelux sana wakati nyie huku mnawindana, achaneni na zitto, wapuuzeni masalia TUSONGE MBELE KWA PAMOJA
 
Mkuu Lukanso, kiukweli mimi ni mgumu sana kueleweka kwa urahisi, wanaonielewa ni wachache sana humu na hao wanatosha, muda wako wa kunielewa ukifika na wewe pia utanielewa, kwa sasa tusiendelee kujaza mainzi kwenye haya mautumbo yaliyokwisha tumbuliwa!.
Pasco.

Haya bwana Merry Xmas mkuu Pasco... and prosperous 2013.
 
Last edited by a moderator:
Acha unafiki na kudhani watanzania wataendelea kuwa wajinga daima milele. CCM itatumia mbinu za wizi wa kula kwa kuficha kwenye hot pots, maboksi ya biscuit, na thermos pamoja na kuwatumia polisiccm na usalama. Na kutumia pesa za walipa kodi kununua shahada za kupigia kura na kutoa rushwa lakini haitasaidia. Mwenye macho haambiwi tazama, Arumeru Mashariki ni mfano hai. Fanya tathmini ya kitaalam. CCM inaendelea kuwepo si kwa upendo wa wananchi ktk roho zao na imani yao, bali kwa nguvu ya vyombo vya dola ambavyo kutokana na ukiritimba wa muda mrefu wa CCM imewafanya wananchi waamini kuwa vyombo hivi ni mali ya chama tawala kulinda maovu yao na waendelee kutawala. Hakika iko siku inakuja na siyo mbali sana, wananchi watakapoamua kusimamia kile kilicho haki yao na kusema vyombo vya dola viko kwa ajili ya wananchi na raslimali za nchi na si kulinda na kukumbatia watu wachache wanaoipora nchi. Ndipo utakuwa mwisho wa CCM kwa kuwa haikustuka kuwekeza ktk imani ya watu wake.
Ni bucha ipi unayosema fisi apewe, wakati CCM imepora na imefisadi kila kitu ktk nchi hii?. Atakaye chukua nchi hii atakuwa na kazi ya kuijenga upya, ila kwa kuwa watanzania wana imani kuwa ajae baada ya CCM atakuwa mkombozi na ataipeleka nchi kwenye neema kwa usawa, tunaamini kwa uweza wa Muumba ataweza na itakuwa faraja kwa kila mwananchi.
Ukweli utabakia kuwa ukweli, kuwa mtu yeyote jasiri na mwenye kutetea haki za watu, kutetea raslimali za nchi, kukemea maovu na mwenye kuhamasisha wananchi kujua haki zao na kufungua fikra za watanzania, waondokane na dhana na falsafa ya ndiyo mzee. Hawezi kuonekana mtu mzuri mbele ya watawala na wapambe wao.
 
taratibu CDM wanawabana CCM ktk uongo wao na hawana pa kujitoa.Mwingulu na viapo vyote sijui atakatiza wapi na Lissu.Mahakamani hakutakuwa kama bungeni hadi ashikiwe watu halafu yeye apige ngumu tuu.Nampatia huruma
 
Naona Zittophobia inazidi ku gain momentum, kila kukicha ni threads zaidi ya 10 kwa Zitto, ziwe zinamzungumzia kwa uzuri au kwa kwa ubaya, as long as jina la ZZK linatajwa, huku nu kumuongezea umaarufu!. At the moment, ZZK ndie the most popular politician in Tanzania as of now!. Kwa kwa wale ambao ndio role model wao, kwa wao ZZK ni Sterling, na sterling hauwawi!. Hata mumuue vipi, hafi!, alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo!.

Mkuu ZZK, thanks kwa kukaa kimya, please don't react kwa kila utumbo utumbo unaotupiwa humu!, ukireact, utombo utumbo mwingine, unaweza kutumbuka!.

Pasco.

Ndugu yangu Pasco upo wapi?CCM wanajianika uchi kabisa.....mzee wako EL siku hizi yupo na magaidi ywa kisomali..kapiga mmeru mwenzie...Meru wamemkataa kabisa kama yeye alivyowakana na kuhamia masaini....wamasai nao wamemkana pamoja na kuwapa yamini ....bado alihtaji piga mawakala wa CDM pamoja na mbunge mmeru mwenzie...ili wabaki wenyewe wajigawie kura kama fisi.(Anasahau CCM wanamwona km mkaskazini).

Tukirudi ktk tukio la bomu....CCM wanasasambuliwa kadiri wanavyoleata mdomo na ukilaza.Hembu tupo habari zako....
 
CCM mmeona arusha eh...mkishamaliza ushenzi CDM wanawaonyesha ustaarabu.
 
Alipoingia tuu Kinana na Mangula, EL is done!, although he is the best that CCM has, but unfortunately he is not the chosen one!.

Ukiondoa usaliti wa masalia kutaka kutuchafulia ZZK wetu, kwa Chadema, ZZK is still the best you have and second to none!. Huyo kijana aliyemchafua ZZK, hebu msubirie uone hata kama panya atapona nyumbani kwake!. Wee subiri tuu uone!.

P.

El kazidi chemsha kuwapiga akina Nassari kule Liliondo Bora angekubali kushindwa ili wale wazee wa kimamasai wanaomchukia sasa hivi kwa visasi vyake wawe na mashaka kama kweli ni visasi.Sasa asahau nata Monduli.Akitoka tuu kufuata uraisi anakosa vyote.

Masai huwa hawana visasi ikishsuluhiswa..hata kuua mtu kondoo au ng`ombe ikilipwa km fine mchezo kwisha.Sasa yeye hata wasio mfanyia kivu zaidi ya kumsinda inamto auvumilivu?
 
wenye macho wanaona tena...kwa CCM imeguwa game kwa CDM imekuwa mtego wa kumvuta CCM ktk uovu mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom