Mwayego usiwasikilize hawa.. wanakutia mbichwa bure.. Siku UKIKAMATWA.. NA UKAKAMATIKA .. ndo utajua kwanini mtaji wa CUF Igunga Uliyeyuka..
Unajua sio suala la kujitakia, unakuta mmejaa sana kwenye basi hilo, mguu hauwezi kutembea kwenda mbele au nyuma, ulikogeukia ndio kuna mtu kama huyo, bahati mbaya zaidi ukute height yako na huyo zinalingana au kupishana kidogo kiasi kwamba ...
eneo maalumu.... linafikiwa, gari haitulii barabarani, kwa kweli ni rahisi sana kutokea. Kwa bahati mbaya wengine(hawa wasio na mguu mfupi) huwa wanajitingisha zaidi hata ya gari linavyofanya, hali inakuwa ngumu sana pale. Lakini huwa wanahisi kinachotokea kutokana na mabadiliko (ugumu), ila wanaamua kukuchezea tu- waangalie machoni utagundua kitu fulani.
Sisemi wajiendekeze, wajaribu hardly kugeuka upande mwingine mara inapotokea, ingawa angalia unapogeuka usije ukampelekea mwingine huko, maana unaweza tokea ugomvi mkubwa kwa kuwa hajui yamekutokea wapi mpaka umpelekee yeye, vinginevyo ubaki upande uleule wa yule anayejua chanzo. ................................ Cha msingi,
fikiria kabla, ukiona tu mkao ambao utakudhoofisha, geukia upande mwingine kabla hayajaanza, utakuwa salama