Recent content by itabagumba

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

    Hizo sifa sehem nyingine hakuna
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

    ushamba ni kuwaje ati ?sioni ustaarabu wa wengine. Kuweka mkorogo au ? Na hao wajanja wana nini cha ziada ? Huko kusoma shule kama Nsumba, Bwiru, Nganza, Mwanza Sec etc zipo toka ukoloni nani alikuwa anasoma? ufahamu zaidi tunahitaji kupewa mwanga.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Hizi hoja za wasukuma keep repeating.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa Kisukuma na Ulimbukeni Wa Mapenzi Ya Wanawake Wengi. Kumbe Mume/Mke Mmoja Inawezekana!

    hizo ni tabia za i wanaume wengi mbona wanasingiziwa wasukuma ? Kuna jamii ghani ambayo isiyokuwa polygamy? hoja haikuwa balanced hata kidogo
  5. I

    JamiiForums Tanzania Love melted before my eyes

    @ Money Penny kwanza napenda kukupongeza kwa kipaji chako cha uandishi, natumaini hii imetokana na "hobbies" zako za kupenda kuangalia movies etc. Hivyo nakushauri uangalie jinsi unavyoweza kubadili hobbies kuifanya biashara. Kama ulivyo eleza kuwa umechukua miaka mingi kutafuta kazi kumbe kazi...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

    Bottomline hata kama ukitaka kupata ukweli hautaupata
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka, MMU Legends

    Wandugu nimeomba mda mrefu kuungwa MMU anayehusika plse
  8. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Itahusisha silaha mambo ya ndani inahusika
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume nao huandaliwa kabla ya tendo?

    hiyo kufunguliwa kwa wakubwa mpaka uwe celebrity humu ndani nimeomba mpaka
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kihaya

    Anayefungulia jukwaa kubwa ni nani naona nimeomba mpaka choka Admin plse
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kadi ya gari BMW X5 inahitajika

    The doctrine of last possession extends to the crime commited
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ugoni bila kutenda nimeumia sana

    Defence of Alibi
  13. I

    JamiiForums Tanzania Usagaji ni hatari zaidi ya michepuko

    Moderator naomba uniunge jukwaa la wakubwa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Changamoto kubwa ya jamiiforum ni wachangiaji wake wengi waliokuwepo mwanzo wamekuwa domant au kutosikika kabisa. Enzi zile kulikuwa na uchangiaji ukiambatanishwa na references na kufanya jukwaa kuwa la kiwango cha juu kabisa. Kuna mwaka jamii forum ilikuwa ranked kwenye 10 bora ya forums...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Hivi kama ungekuwa hujiwezi na wangejazana ndugu zako najaribu kufikiri tu
Back
Top Bottom