nimeipenda Thread hii,Nashukuru ingawa nimepata habari kuwa kuna Group tatu za makampuni na Gharama zake,basi naomba msaada wa kujua Gharama hizo,hizi biashara za kuonana na receptionist ndio zinaumiza wananchi!, haya mambo kama vipi yafanyike online tuu, kuna kila sababu ya kufanyia hizi issue online, sioni kwa nini lazima tuonane na watu. ndio maana rushwa haitokoma TZ. Tujifunze kuokoa muda.
B.
nenda kaulize ccmHabari wanajukwaa!
Awali ya yote huwa nawaza namna ya kusajili kampuni hatua zipi nifuate kuna wakati napata kazi naulizwa una kampuni nasema hamna jamaa anasema basi hamna hatukupi kazi
je faida ya kusajili kampuni ni zipi ?
je nikifirisika kodi wataendelea kunidai kama kampuni ?
je naweza pata mtu wa kunisaidia kusajili awe mwanza lakini ?
je kampuni nikisajili naweza pata mkopo ?
Ingawa wako online, lakini ni vigumu mno kuweza kufanya hiyo registration mwenyewe, itabidi uwafuate tu,nahisi kuna tatizo mahali!Now its online ingia http://www.blera.go.tz
contect iko vizuri inasaidia thanks sana, ila member nilikua na swali moja ivi unafahamu ni jinsi gan mtu unasajili kampuni ya media unaweza kunipa process zake.Asante sana CottonEyeJoe
japo hujaniuliza mimi, company ya media unasajili brela ,na hatua zake ni kufanya company name clearance,jina likipita inaandaliwa memorandum na artlicles of association ambazo company objects zitajieleza kwamba ni media company, baada ya usajili itafuata Tin,baada ya tin ni leseni ya biashara,ila kama ni print media Idara ya habari maelezo watahusika kukupa mwongozo,na kama ni electronic media TCRA watakupa muongozo wa vibali vyao.contect iko vizuri inasaidia thanks sana, ila member nilikua na swali moja ivi unafahamu ni jinsi gan mtu unasajili kampuni ya media unaweza kunipa process zake.
Thanks mkuu vipi unaweza kujua pia kampuni la ulinzi hatua zake haswa mkuujapo hujaniuliza mimi, company ya media unasajili brela ,na hatua zake ni kufanya company name clearance,jina likipita inaandaliwa memorandum na artlicles of association ambazo company objects zitajieleza kwamba ni media company, baada ya usajili itafuata Tin,baada ya tin ni leseni ya biashara,ila kama ni print media Idara ya habari maelezo watahusika kukupa mwongozo,na kama ni electronic media TCRA watakupa muongozo wa vibali vyao.
hii unaanzia wizara ya mambo ya ndani ,hatua ya kwenda brela kwa ajili ya usajili ni baada ya kupata kibali cha wizara ya mambo ya ndani,ambapo barua hiyo utaambatanisha pamoja na documents za usajili wa companyThanks mkuu vipi unaweza kujua pia kampuni la ulinzi hatua zake haswa mkuu