Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

Hihihihihiii!
Habari zenyu wanaMMU?
...
Imekua issue ya kawaida sana kukuta wadada wengi wakiwasifia wanaume wakisukuma katika suala zima la mapenzi!
Hata humu MMU kumekuwa na thired nyingi tu za kuwasifia Wasukuma!
...
Sifa yenyewe sasa!
Eti Wasukuma wanajua kuhendo!
Kigezo kilichotumika ni uhodari wao wa KUHONGA!
Yani hawa jamaa wanahonga sana, sana, sana! Afu eti hata ukimzingua hajiui wala haui ke wake licha ya garama alizotoa! Kwa hili nawapongeza!
Uzombie wenu ni kulazimisha kumridhisha mschana hada mukiingia hasara!
.
Unakuta Msukuma anaishi nyumba ya kupanga hata chumba chake hakiko fullu mafenicha lakini atakipamba kwa garama zote chumba cha mwanamke wake!
.
Unakuta hana usafiri lakini anamnunulia gari ke ambaye hata hana future nae!
.
Unaweza kukuta katika walet yake kuna laki mbili na elfu sitini (260,000/= Tsh) but anahonga laki mbili anabaki na 60 elfu!
.
Wengine ni wanafunzi wa vyuo, tena sio boom bust, ni boom savivor! But laki 3 anaihonga kwa mkupuo mmoja!
Afu anaanza kukopa!
.
Sometimes akiwa na appointment na ke wake na hana hela, atafanya njia YEYOTE ili akahonge!
..
Afu wanapenda kujipamba ili wapendwe!
Kwa Msukuma (me) kuweka nyele dawa ie wave, soft free and others ni kawaida sana!
Kwa kweli nawahurumia sana!
.
Labda niwaulize, PILIKA ZOTE HIZO ILI MPATE MBUNYE TU au kuna lingine???
...
Imekua shida sana kuishi/kudate na msichana aliedate msukuma!
...
Mnajiona wajanja kumbe Mnahonga wenzenu tunatumia! Which means hata mhonge vipi bado mtasafa kama sisi katika kutafuta penzi la kweli!
...
My take:
hongeni kwa kiasi na kwa mujibu wa vipato vyenu! Msijione mnasifiwa, HIZO NI SIEA ZA KIJINGA!

Shikamoo Muhaya...Full fenicha
 
sababu unajifanya mujanja. kama watoto wa mujini

mmmh gonhana mayu? yaya nduhu gete.... wengi huwa wananiambia eti naongea kiswahili kikubwa kikubwa yaani likiswahili la maherufi makubwa makubwa ndiyo maana hawataki hata kutoka na mimi.... Teh teh
 
mmmh gonhana mayu? yaya nduhu gete.... wengi huwa wananiambia eti naongea kiswahili kikubwa kikubwa yaani likiswahili la maherufi makubwa makubwa ndiyo maana hawataki hata kutoka na mimi.... Teh teh

Jamani??? wasukuma wenyewe kabisa uongea kidogo kodogo,
 
weeeeee ukikuta anaongea kidgokidogo huyo sio msukuma halisi.... msukuma niliezoea kula ugali mgumu wakati wa kuongea lazima nitumie energy ya kutosha

.........wasukuma wa online wanamaneno makubwa makubwa..........
 
kwanza weka bayana wewe ni mwanamke au mwanaume?
kama ni mwanamke tafuta msukuma halafu uje utoe majibu kitandani wapoje yani wanaume wa kisukuma ni noma kitandani kama umeolewa usijalibu utamwacha mumeo kweli nakwambia.
Mpagu ubule nanamane ulenkema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom