Recent content by issaaman

  1. issaaman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza kufikia mwezi Julai 2021 umeme usiwe unakatika hata siku 1

    Baada ya mwezi wa Saba ukikatika umeme nikashitaki wapi?
  2. issaaman

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa gari kutoka Zanzibar

    Kwa hali hii Zanzibar sio Tanzania nahisi Kama haipo Kenya basi ni Oman
  3. issaaman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

    Thailand ni zaidi Ni gatherer Sana unaweza ukashangaa umepotea nyumbani Kwa Watu
  4. issaaman

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa Kiume anaoga baada ya siku mbili, maji yapo ya kutosha. Hii ni kawaida?

    Labda kuna manzi Wake anapenda harufu ya kipwepwe
  5. issaaman

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa minane

    Huo sio mkoa ni kijiji Wanaijua Arusha tu
  6. issaaman

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

    Agenda tuliokuwa nayo kwa sasa ni kufuta Umoja wa kitaifa Tukiingia Baraza la wawakilishi tuna zaidi ya theluthi mbili Inaekwa mezani kura za Ndio nyingi tumeifuta Hatutaki tuchanganye mchele na Pumba Umeelewaaaa
  7. issaaman

    JamiiForums Tanzania Kuna wizi umetokea banki

    Huyo mrembo alieambiwa ajifunike kanga alikuwa kajibenua nini maana jambazi pia kaona kirumbua chahitaji kufunikwa
  8. issaaman

    JamiiForums Tanzania ATCL jirekebisheni vinginevyo mtapoteza wateja

    Tunazichanga bado ndege tatu
  9. issaaman

    JamiiForums Tanzania Ni mji gani unafuata kuwa jiji Tanzania?

    Muheza
  10. issaaman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

    Hiyo aliotumia ni elimu ya kutongozea Anataka kitu kashindwa kusema Kazunguka
  11. issaaman

    JamiiForums Tanzania Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Kuna uwezekano Karibu trillion 1 Imetumika nchi nzima kwa rushwa kura za maoni Wajumbe Watu hatari Sana
  12. issaaman

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

    Kwa Mimi pia mshitakiwa hana hatia Kwa sababu alipoombwa akakataa akatoka kwenda zake Nyege zilimshika akarudi Mwenyewe akavua nguo Mwenyewe Sasa nahukumu nini Wakati kaipachika Mwenyewe? Mshitakiwa uko huru nenda nyumbani kale bata Iko haja serikali kupunguza mtoto kutoka miaka 18hadi 16
  13. issaaman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ya Corona Kenya ni mbaya mbaya mbaya mbaya

    Hawajasema na Mungu
  14. issaaman

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba, kamatia hapohapo

    Amejaribu kula vitu vya Watu Usicheze na vyakula vya wakubwa utaumbuka
Back
Top Bottom