TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa minane

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwezekano wa kunyesha mvua kubwa katika mikoa minane ya Tanzania ambazo zinaweza kusababisha mafuriko mkatika baadhi ya maeneo.

Mikoa hiyo ni Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Akizungumza leo Jumapili Novemba 15, 2020, mchambuzi wa TMA, Joyce Makwata amesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha ndani ya saa 24 katika mikoa hiyo ambapo wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari.

Makwata amesema mvua hizo zitasababisha baadhi ya makazi ya watu kuzungukwa na maji na barabara kutopitika.

Amesema wananchi wa maeneo hayo wanatakiwa kuchukua hatua hasa wale wanaoishi mabondeni na wafuatilie mara kwa mara taarifa za TMA.

Vilevile Makwata amesema katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba mvua zinatarajiwa kunyesha za kawaida ambazo hazitarajiwi kuleta athari.
 
Miezi 9 ijayo, watoto watazaliwa wengi wengi.

Ila msimu huu ningetarajia wafanyabiashara wafuatao wafanye promotion ya bidhaa zao kutokana na hali ya hewa.

Jamani eeeh msimu huu mitungo haikwepeki, nunueni ndomu kuzuia mimba zisizotarajiwa, na wale ambao hawajajiandaa kuwa wazazi, kulea si jambo la kispotispoti. Kwa bei ya promotion unapata 10 kwa gharama ya 3. Karibuni wateja.

Muuza maduvet, jamani msimu ndo huo unaingia muwe wawili uwe pekeyako na kama una watoto ndo kabisaaa mnahitaji haya mablanketi supa aka maduvet mnajikinga na baridi joto lenu la mwili halipotei na mnalala usingizi mororooo.

Kwa bei ya promotion ukinunua duvet 2 unapata moja bure uwazawadie na wazee wako wasipigwe na baridi.

Kiwanda cha mabati yale yanayochuja kelele za mvua hata ya mawe huu ndo msimu wa kuuza bidhaa kwa wingi.

Ezeka nyumba yako na mabati yasiyotoa kelele ya mvua, unalala usingizi ukiamka asubuhi ndo unshangaa kumbe mvua ilinyesha 😅😅😅.

Kwa bei ya promotion ukinunua bati za kuezeka nyumba nzima tunakupa misumari bureee.

Few to mention but there are a lot of products that goes with weather/promotion...

Akili ya K Matata kuchukulia jambo hasi kama opochuniti ya kutengeneza suluhisho na kuingiza hela.

Ajuza Matata.
 
Miezi 9 ijayo, watoto watazaliwa wengi wengi.

Ila msimu huu ningetarajia wafanyabiashara wafuatao wafanye promotion ya bidhaa zao kutokana na hali ya hewa....

Jamani eeeh msimu huu mitungo haikwepeki, nunueni ndomu kuzuia mimba zisizotarajiwa, na wale ambao hawajajiandaa kuwa wazazi, kulea si jambo la kispotispoti. Kwa bei ya promotion unapata 10 kwa gharama ya 3. Karibuni wateja.

Muuza maduvet, jamani msimu ndo huo unaingia muwe wawili uwe pekeyako na kama una watoto ndo kabisaaa mnahitaji haya mablanketi supa aka maduvet mnajikinga na baridi joto lenu la mwili halipotei na mnalala usingizi mororooo...

Kwa bei ya promotion ukinunua duvet 2 unapata moja bure uwazawadie na wazee wako wasipigwe na baridi.

Kiwanda cha mabati yale yanayochuja kelele za mvua hata ya mawe huu ndo msimu wa kuuza bidhaa kwa wingi....
Ezeka nyumba yako na mabati yasiyotoa kelele ya mvua, unalala usingizi ukiamka asubuhi ndo unshangaa kumbe mvua ilinyesha 😅😅😅.
Kwa bei ya promotion ukinunua bati za kuezeka nyumba nzima tunakupa misumari bureee....

Few to mention but there are a lot of products that goes with weather/promotion...

Akili ya K Matata kuchukulia jambo hasi kama opochuniti ya kutengeneza suluhisho na kuingiza hela.

Ajuza Matata.
Nitakupa kazi ya marketing manager nikifungua kampuni yangu, I mean 'kiwonder' changu.
 
Miezi 9 ijayo, watoto watazaliwa wengi wengi.

Ila msimu huu ningetarajia wafanyabiashara wafuatao wafanye promotion ya bidhaa zao kutokana na hali ya hewa....

Jamani eeeh msimu huu mitungo haikwepeki, nunueni ndomu kuzuia mimba zisizotarajiwa, na wale ambao hawajajiandaa kuwa wazazi, kulea si jambo la kispotispoti. Kwa bei ya promotion unapata 10 kwa gharama ya 3. Karibuni wateja.

Muuza maduvet, jamani msimu ndo huo unaingia muwe wawili uwe pekeyako na kama una watoto ndo kabisaaa mnahitaji haya mablanketi supa aka maduvet mnajikinga na baridi joto lenu la mwili halipotei na mnalala usingizi mororooo...

Kwa bei ya promotion ukinunua duvet 2 unapata moja bure uwazawadie na wazee wako wasipigwe na baridi.

Kiwanda cha mabati yale yanayochuja kelele za mvua hata ya mawe huu ndo msimu wa kuuza bidhaa kwa wingi....
Ezeka nyumba yako na mabati yasiyotoa kelele ya mvua, unalala usingizi ukiamka asubuhi ndo unshangaa kumbe mvua ilinyesha .
Kwa bei ya promotion ukinunua bati za kuezeka nyumba nzima tunakupa misumari bureee....

Few to mention but there are a lot of products that goes with weather/promotion...

Akili ya K Matata kuchukulia jambo hasi kama opochuniti ya kutengeneza suluhisho na kuingiza hela.

Ajuza Matata.
Mtungo umemaanisha threesomes,foursomes or what?
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwezekano wa kunyesha mvua kubwa katika mikoa minane ya Tanzania ambazo zinaweza kusababisha mafuriko mkatika baadhi ya maeneo.

Mikoa hiyo ni Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Akizungumza leo Jumapili Novemba 15, 2020, mchambuzi wa TMA, Joyce Makwata amesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha ndani ya saa 24 katika mikoa hiyo ambapo wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari.

Makwata amesema mvua hizo zitasababisha baadhi ya makazi ya watu kuzungukwa na maji na barabara kutopitika.

Amesema wananchi wa maeneo hayo wanatakiwa kuchukua hatua hasa wale wanaoishi mabondeni na wafuatilie mara kwa mara taarifa za TMA.

Vilevile Makwata amesema katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba mvua zinatarajiwa kunyesha za kawaida ambazo hazitarajiwi kuleta athari.
Dsm mvua kidogo tu, Jangwani pameshafungwa.
 
Vituko hasa mpwa.
CCM ilijitabiria ushindi kabla ya kampeni, chakushangaza hata Bukoba, Tarime, Arusha, Mbeya, Hai, Iringa mjini, Kawe na Pemba yes Pemba wakashinda.
Full ubabaishaji...
Adui mkubwa wa Mtanzania ni CCM
 
Mtungo umemaanisha threesomes,foursomes or what?

Darmiiii....!!! Nooh
I didn’t mean either of those......

What I meant is, during the rain season or cold weather seasons a lot happens behind walls/doors (hard core sex, lazy sex, massage to romantic sex) so mitungo meant man and woman intersecting their private parts deeply .....😜

Nashangaa sikupata notification ya quote yako.
 
Back
Top Bottom