Recent content by Issa Lilungulu

  1. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu unapompata anayekupenda

    [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kijana mtanzania Rashid Mbereresero amehukumiwa kifungo cha maisha jela

    Zipo nyingi tu Qur an 4:36, 7:199, 20:40, 49:11, 4:58, 4:135, 49:9, 2:283 Zipo nyingi ukitaka nyingine nitaongeza Uislamu haufundishi UGAIDI
  3. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kijana mtanzania Rashid Mbereresero amehukumiwa kifungo cha maisha jela

    Wanampeleka samaki kwenye maji wanadhani wanamkomoa
  4. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Chuo cha uuguzi Lugalo hospital

    Ni cha serikali
  5. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Msaada Please

    Habari wana JF, Naomba kufahamishwa kuhusu Geology na ajira zake zimekaaje kwa ujumla
  6. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa mara ya kwanza taabu saana

    Kama hakuna uhusiano basi vyote vinaweza kufanywa kwa wakati mmoja
  7. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa mara ya kwanza taabu saana

    Kwani kuna uhusiano kati ya kusoma na kufanya mapenzi??
  8. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Nash MC ana elimu gani?

    Imani ya Sultan ndio imani gani
  9. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Nash MC ana elimu gani?

    Umenena bro [emoji122]
  10. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Nash MC ana elimu gani?

    Infact anajitahidi ila bado hajamfikia Dizasta vina [emoji123]
  11. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi

    Fikiria una waambia watoto wako wakalale Mara unasikia kamoja kanasema "Mmh jamani tuondokeni mida yao imefika"
  13. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania michapio iliyonivunja mbavu nawe weka yako tucheke

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Issa Lilungulu

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

    Sahihi kabisa
Back
Top Bottom