Chuo cha uuguzi Lugalo hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha uuguzi Lugalo hospital

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Adm, Apr 30, 2012.

 1. A

  Adm Senior Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  WanaJF naomba mwenye ufahamu juu ya hili anifahamishe. Nimeambiwa kwamba pale Lugalo JWTZ camp DSM kuna chuo cha uuguzi, swali langu ni kweli hicho kipo? Pia je hicho chuo kina-train clinical officers na utaratibu wa kujiunga na chuo uko vipi?
   
 2. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 308
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  mhh ni hv nimeskia kipo lkn sina uhakika sanaaa labda mwenye ufahamu anaweza aka2juza.

  Kuhusu kujiunga kuna 4m zilikuwa zinatolewa kwenye website ya wizara afya. Unajaza zile gap zilizopo kwny hiyo 4m zen una2ma kwenye kanda kwan safar hii imebadili mfumo kidogo kwamba maombi nilazima yapitie kweny kanda iliyokarbu nawe wizara waliteua kituo cha kupokelea maombi ktk kila kanda.

  Kwa sasa umechelewa mwisho wa ku2ma maombi ulikuwa ni tar 30 apr.
   
 3. dr samg

  dr samg JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2013
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 253
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yap kipo kinaitwa Lugalo military medical school. kinatoa kozi tatu kuu Clinical Medicine (clinical officer), Nursing (Diploma) na Assistance Medical Officer (AMO). Kozi hizi huchanganya raia na askari kuwa darasa moja na hospital ya mazoezi ni hapo hapo lugalo general military hospital. ni chuo kikongwe sana toka 1980's. kupata form nenda chuoni ofisini kwao. Njia nzuri ya kufika nenda kama waenda lugalo hospital ukifika getini ulizia chuo utaelekezwa usisahau kubeba kitambulisho chako chochote ili utambulike getini. kwa kawaida form hutolewa kuanzia march hadi juni kama sijakosea bei ya kawaida na masomo huanza september kila mwaka. Specifications ni kama za wizara ya afya. kumbuka hiki ni chuo private si cha serikali.
   
 4. M

  MWANANCHI MUSOMMMA JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani nami pia nataka kumpeleka pale ndgu yangu nitafurahi kama nitapatiwa ufumbuzi kama bado fomu zinachukuliwa na mwisho wa kurudisha lini kwani nami nataka kumpeleka mdogo wangu certificate ya clinical officer|je pia nasikia akimaliza anaweza pata ajira ,vipi kuajiliwa jeshini inawezekana pia naombeni ufumbuzi kwani Ada yao kubwa sana pia...
  Je akiwa anatokea temeke anaweza panda gari gani...
   
 5. abdulh iddy

  abdulh iddy Senior Member

  #5
  Jun 1, 2015
  Joined: May 28, 2015
  Messages: 163
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vigezo na maxharti ni yapi
   
Loading...