Hamjambo ndugu...
Hivi Ni kweli kuwa ukubwa wa mdomo wa mwanamke Ni sawa na ukubwa wa papuchi yake?
Maana Kuna vijana wa hovyo tunaestimate size ya labia majora na labia minora kwa kumuangalia mtu mdomoni,.
Waislam Wana akili Sana wanafunika Hadi midomo sa sijui wengine wavae barakoa ili...
Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi.
Wasukuma watani sijui niseme?
Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo?
Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi.
Anyway mtwambie...
Hello
Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice.
Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote.
Namba yangu Ni 0614899688
Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo.
Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi.
Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam.
Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli.
Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.