Recent content by Isombilege

  1. Isombilege

    ULIZO

    Kwanini nyuzi zangu zinakufa njiani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Isombilege

    Mkoa wa Kagera hauendani na wao wanavyoudhania

    Kwani uliambiwa wahaya WENYE pesa wanakaa Bukoba ? Wahaya wako Masaki,Mikocheni Na Mbezi beach . HATA HIVYO WAJENZI WAMJI SIO KABIRA MOJA Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Isombilege

    Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

    MTU ALIYEPIGWA RISASI ZOTE HIZO AKAPONA HIVI MNATARAJIA ANAWEZA KUSEMAJE AKIHOJIWA. ANACHOKIFANYA LISSU KI KILE AMBACHO MWANADAMU YEYOTE ALIYEUMIZWA NA MTU ASIYEJULIKANA ANGEKIFANYA. MKUMBUKE LISSU NI MWANASIASA NA MWEREVU MKUBWA WA MAMBO Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Isombilege

    Clouds 360: Hata kama CAG siyo muhimili kazi zake ni zaidi ya " huo" muhimili asikejeliwe!

    [emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Isombilege

    Hali mbaya: Nimemwona jamaa anatembeza chumvi kuuza

    HOJA YAKO HAINA MANTIKI : MIMI BINAFSI NAIPUUZA HAINA UTAFITI MAKINI KWA SABABU WAUZA CHUMVI WAPO SIKU ZOTE . HALI NI NZURI : NENDA BAAA MAARUFU NDIPO UTAELEWA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Isombilege

    Je ni kweli MOSSAD ndio walipambana kwa niaba ya KDF?

    MOSSAD NDIYO NINI ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Isombilege

    Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota?

    Punguza stress fanya chochote ili kupunguza au kuondoa kabisa mawazo makali na magumu, Epuka kula na kushiba sana usiku, Kunywa maziwa fresh kwa wingi Utaona matokeo yake Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Isombilege

    Kimaadili ya Kihasibu: Je, CAG alikuwa sahihi?

    Nawewe umesoma !! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Isombilege

    Dar es Salaam yaanza kupotea midomoni mwa watu

    BONGO KUCHWANI Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Isombilege

    Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    MNAHARIBU THREAD YAKE Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Isombilege

    Mwalimu Kashasha ni nani?

    Wanajanvi naomba kumfahamu vizuri huyu mchambuzi wa mpira anayesikika Tbc mara nyingi . Nani anafahamu vyema huyu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Isombilege

    WFP wanapaswa kuachana na mahindi ya Rais Magufuli kwa sababu nia ya muuzaji siyo njema!

    thread zingine kuchangia inapaswa huwe umekula supu ya pweza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Isombilege

    Kumbe muundo wa makutano ya Ubungo jijini Dar ulibadilishwa?

    Bora tukope kujenga interchange Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Isombilege

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Kumbe] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Isombilege

    Computer4Sale Nauza laptop aina ya Apple

    UNASEMA HAIPUNGUI LAKI SABA NA NUSU! ALAFU UNASEMA MTU ANAWEZA KUIUZA HATA MILIONI 1.5 NA ZAIDI . KWA NINI USIUZE HIYO MILIONI 1.5 AMBAZO ZITAKUTOSHA KULIKO HIYO BEI UNAYOTANGAZA. USIJIKAANGE MWENEWE KWENYE ISSUE KAMA HIYO
Back
Top Bottom