Dar es Salaam yaanza kupotea midomoni mwa watu

Mimi mbona sioni shida kuitwa mwanaume wa Dar maana nyie wanaume wa mikoani ni dhaifu sana kwanza ni wadhaifu kwenye mapenzi, mkisalitiwa ni rahisi sana kujiua au kuwaua wapenzi wenu sababu huko mikoani kwenu mademu ni kitu cha ajabu sana...licha ya mapungufu mengi ya watu wa Dar, bado ipo vile vile ndo maana uliona aliesema anataka kuhama Dar kuhamia Dodoma mpaka leo bado yupo Dar...

Mkuu hapo umenena hakika jamaa ni dhaifu,
Nakumbuka mara moja nilikuwa Mara, ni kawaida kumuona mtu anaingia kuzini na isimchukue hata dakika 15 keshatoka, unajiuliza huyu kaenda kumsalimia au?

Hawa jamaa wanaojiita wakakamavu na kuwaona wa Dar ni Dhaifu inakuwaje SOKA,na michezo mingine Dar wapo vizur na wanaona wadhaifu?
Tuache simba na Yanga, njoo ktk michezo ya Shule Umiseta na Umitashunta nakumbuka last year nilikuwa Mwanza Watoto wa Dar waliwaburuza kila mahali.
Dereva mjanja wa wa Mkoani acha mjini hata Mandera road atatetemeka.
Huwa sijaielewa dhana ya udhaifu wanaouzungumzia ni upi hasa.
I PROUD TO A MAN FRM DAR.
 
Siyo Dar tu zamani hata mtu alikua akitoka makao makuu ya wilaya ya kijjn kwako au makao makuu ya Mkoa alionekana kama mfalme kwa mavazi ujanja na mambo mengi, kwa sasa mazingira ni tofauti teknolojia miundombinu ya barabara, umeme na viwanda vimebadilisha mambo mengi vitu vingi vinapatikana hata vijijini kwa % kubwa mitandao imefanya watu kupata taarifa kwa ukaribu zaidi ndiyo maana hata Dar kuzamia kwenda Ulaya, Marekani na Asia siyo kwa dili tena. Wasomi nao wameongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani vitu vizuri vilikuwa vinapatikana na kuishia Dar, siku hizi utandawazi umepelekea hata vijijini kupata chochote ukitakacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo umenena hakika jamaa ni dhaifu,
Nakumbuka mara moja nilikuwa Mara, ni kawaida kumuona mtu anaingia kuzini na isimchukue hata dakika 15 keshatoka, unajiuliza huyu kaenda kumsalimia au?

Hawa jamaa wanaojiita wakakamavu na kuwaona wa Dar ni Dhaifu inakuwaje SOKA,na michezo mingine Dar wapo vizur na wanaona wadhaifu?
Tuache simba na Yanga, njoo ktk michezo ya Shule Umiseta na Umitashunta nakumbuka last year nilikuwa Mwanza Watoto wa Dar waliwaburuza kila mahali.
Dereva mjanja wa wa Mkoani acha mjini hata Mandera road atatetemeka.
Huwa sijaielewa dhana ya udhaifu wanaouzungumzia ni upi hasa.
I PROUD TO A MAN FRM DAR.

Msalimie amber rutty hapo dar,mwambie wanaume wa mkoani wanamsalimu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jiji la Dar ndio jiji la pili lenye watu waoga Africa:

Mtandao wa citypages.com umelitaja jiji la Dar es Salaam kama jiji la pili kwa watu waoga zaidi Afrika (Cities with the most coward people in Africa).

Utafiti uliofanywa na mtandao huo unaonesha kwamba wakazi wengi wa jiji la Dar es Salaam ni waoga hata katika mambo ambayo hawakupaswa kuogopa.

Utafiti huo ulifanywa kwa kuhoji mambo anuai yaliyohusu ujasiri wa watu katika miji ya Afrika, hususani miji mikuu au miji mikubwa ya Kibiashara ya nchi za Afrika.

Jiji la Cairo limeshika nafasi ya kwanza kwa kuwa na watu wenye ujasiri zaidi, likifuatiwa na jiji la Mogadishu nchini Somalia.

Jiji la Dar es Salaam limeshika nafasi ya pili kwa kuwa na watu waoga zaidi Afrika likitanguliwa na jiji la Lusaka nchini Zambia.

Mmoja kati ya watu waliotoa maoni yao katika utafiti huo amesema "Dar es Salaam is the place that you can intimidate someone and get applause if expose a weapon" akimaamisha jiji la Dar ni mahali ambapo unaweza kumuonea mtu akakutukana moyoni lakini ukimuonesha silaha akakupongeza kwa kumuonea."

Orodha kamili ya miji yenye watu waoga zaidi Afrika ni:

1. Lusaka (Zambia)
2. Dar es Salaam (Tanzania)
3. Blantyre (Malawi)
4. Mombasa (Kenya)
5. Banjul (Gambia)
6. Mbabane (Swaziland)
7. Gaborone (Botswana)
8. Cotonou (Benin)
9. Victoria (Seychelles)
10. Rabat (Moroco).

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zamani Dar ilikua inaonekana ya maana kwasababu watu wengi walikua hawana exposure ya kujua sehemu zingine zikoje (ujamaa). Sasa hivi watu wamefunguka wanasafiri nje ya nchi na kujionea majiji yalivyo ndio hapo wanagundua kumbe dar ni sehemu ya hovyo kuwahi kutokea duniani. Angalao sasa na vi flyover hivyo viwili vitatu labda itaanza kufanana na majiji ila otherwise kwa mtu ulietembea huwezi thubutu kusema unatokea Dar.
Huwezi fananisha Dar na mkoa wowote Tanzania......ukiizungumzia sura ya nchi ndo hii mama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo umenena hakika jamaa ni dhaifu,
Nakumbuka mara moja nilikuwa Mara, ni kawaida kumuona mtu anaingia kuzini na isimchukue hata dakika 15 keshatoka, unajiuliza huyu kaenda kumsalimia au?

Hawa jamaa wanaojiita wakakamavu na kuwaona wa Dar ni Dhaifu inakuwaje SOKA,na michezo mingine Dar wapo vizur na wanaona wadhaifu?
Tuache simba na Yanga, njoo ktk michezo ya Shule Umiseta na Umitashunta nakumbuka last year nilikuwa Mwanza Watoto wa Dar waliwaburuza kila mahali.
Dereva mjanja wa wa Mkoani acha mjini hata Mandera road atatetemeka.
Huwa sijaielewa dhana ya udhaifu wanaouzungumzia ni upi hasa.
I PROUD TO A MAN FRM DAR.
Mti wenye matunda ndg.....kwani hujui ukiwa na mafanikio hata majirani wanaanza kukuchukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo umenena hakika jamaa ni dhaifu,
Nakumbuka mara moja nilikuwa Mara, ni kawaida kumuona mtu anaingia kuzini na isimchukue hata dakika 15 keshatoka, unajiuliza huyu kaenda kumsalimia au?

Hawa jamaa wanaojiita wakakamavu na kuwaona wa Dar ni Dhaifu inakuwaje SOKA,na michezo mingine Dar wapo vizur na wanaona wadhaifu?
Tuache simba na Yanga, njoo ktk michezo ya Shule Umiseta na Umitashunta nakumbuka last year nilikuwa Mwanza Watoto wa Dar waliwaburuza kila mahali.
Dereva mjanja wa wa Mkoani acha mjini hata Mandera road atatetemeka.
Huwa sijaielewa dhana ya udhaifu wanaouzungumzia ni upi hasa.
I PROUD TO A MAN FRM DAR.
Hawa ni wazinguaji kutwa kutaka kujilinganisha na watu wa Dar sema ndo vile hawawezi kila siku mabasi yanawatoa toka mikoani kwao wanakuja Dar kama isingekua hivyo Ubungo isingekua busy
 
Mtu anaeweza kuandika mada kama hii ni yule aliyemaliza kuwinda ndege, akala michembe na viazi mviringo vibichi.

Sent using Jamii Forums mobile app
@De Facto List jana ulipotelea wapi ndugu yangu?
Maana siku mbili hizi vitunguu swaumu haiishi hapa jukwaani mpk nikakukumbuka mzee wa vitunguu swaumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maendeleo hayana chama
 
Mkuu hapo umenena hakika jamaa ni dhaifu,
Nakumbuka mara moja nilikuwa Mara, ni kawaida kumuona mtu anaingia kuzini na isimchukue hata dakika 15 keshatoka, unajiuliza huyu kaenda kumsalimia au?

Hawa jamaa wanaojiita wakakamavu na kuwaona wa Dar ni Dhaifu inakuwaje SOKA,na michezo mingine Dar wapo vizur na wanaona wadhaifu?
Tuache simba na Yanga, njoo ktk michezo ya Shule Umiseta na Umitashunta nakumbuka last year nilikuwa Mwanza Watoto wa Dar waliwaburuza kila mahali.
Dereva mjanja wa wa Mkoani acha mjini hata Mandera road atatetemeka.
Huwa sijaielewa dhana ya udhaifu wanaouzungumzia ni upi hasa.
I PROUD TO A MAN FRM DAR.
Umetoka nje sana ya nilichoandika mkuu soma tena nimezungumzia umaarufu upi.
 
Hawa ni wazinguaji kutwa kutaka kujilinganisha na watu wa Dar sema ndo vile hawawezi kila siku mabasi yanawatoa toka mikoani kwao wanakuja Dar kama isingekua hivyo Ubungo isingekua busy
Wanakuja Dar kwa sababu ni maisha rahisi njoo mkoani alafu utoboe
 
Zamani utasikia mtu akijisifia,mi nimezaliwa Amana,nimekulia Upanga...
 
Mleta mada - You have no idea what are you talking about, baki huko huko mkoani
 
Back
Top Bottom