Recent content by Isma4u

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Jamani anayeweza kusaidia atusaidie, tupo wengi. Binafisi nimekwamba kwenye guarantor details.... mfumo unaload tu masaa yote!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

    Hiv unaelewa nini maana ya mfumo CCM?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume,umri 30-36

    Weka # bac, au???
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Acha uongo + uzushi bwana! Chuki tu zinakufanya unapovuka hivyo!!!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hongera Mheshimiwa rais Kikwete kupaisha uchumi Tanzania

    Gud aidia!!!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Ni nini makusudi yako katika kuelezea habari za freemason???
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

    Bora airtel wanakupa dak 40, sms 1000 kwenda mitandao yote na Mb 300
  8. I

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyotangazwa kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema ....

    Jamani! Hata kiongozi yeyote anayeongoza jamii kutenda mema ni mtumishi wa Mungu!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    na ni lazima sheria ya kuhakikisha Chadema inasambaratika kabla ya 2015 inatumika ipasavyo. Vingnevyo....
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Jamani habari ni nzito na chungu sana! Ni kama vile naota.., laiti iwe ndoto tu!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Kichwa cha habari hii si sahihi..! Askofu hakuipinga CHADEMA pekee ila vyama vyote vya siasa ikiwepo CCM na CUF. Usiandike kishabiki!!!
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    Acha kujidekeza.., fanya kazi zitakazouchosha mwili utaona matokeo! Mshawasha utapungua na kujiendeleza kiuchumi. Tatizo unaendekeza starehe sana!!!
  13. I

    JamiiForums Tanzania Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Kwa 7bu ya wazalendo wachache sana waliopo imani yangu kwao ni 15%
  14. I

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Ee Mwenyezi Mungu, tujalie Neema yako ukatuokoe na majanga haya.., hatuwezi kuyastahimili!!!
Back
Top Bottom