Nahitaji mwanaume,umri 30-36

Nahitaji mwanaume,umri 30-36

Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Weeka naww sofa zako kind ulivyo.
 
naona ma-senior bachelor mwaka wetu huu..... Shy land haikuhusu hii bado mdogo wewe
 
Last edited by a moderator:
Bibi yangu naye anatafuta Mme mwaka huu
 
please sifa zako tafadhali
una umri gan 30+36/2 ....33 yrs old
rangi yako? mangi ya kunde
urefu? chini ya 160 cm
uzito? 55 kg kilo (40 imefunga nyuma)
una watoto? si mgumba
ushawahi kuolewa? ameshiriki tendo mara 3-4 hivi
kazi yako?
mara ya mwisho kupima hiv ni mwaka gani? Dec 1 world Aids day

Source: mm Mwenyewe namhafamu
 
Mkuu kwani kujuana hairuhusiwi? Hahahaa karibu PM tujuane vizuri sasa. Usiishie kubahatisha tuu.

Vigezo ninavyo ila kwa majibu yako nmeanza kukuogopa....staki mie kuish maisha ya panya na paka
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Hili jimwandiko na ID imekaa kiumeume.... Ngastuka!!!
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Vipi kuhusu dudu liwe na cm ngapi?
 
Acha uoga wewe hiyo 160cm ni mtu mfupi sana ni kama urefu wa 5.2ft... So angesema walau anataka mtu mwenye urefu wa kuanzia 180cm hapo ingekuwa kikwazo kwa waTZ wengi maana wengi wao ni below 180cm(5'9ft)

Ni kweli kabisa mkuu. Mimi nina 163 cm na ni mrefu wa kawaida tu. Hiyo 160 cm isiwatishe.
 
Mimi ni mdada wa kitanzania
wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu
mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua
kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe
mrefu chini ya 160cm. Kwa
yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM
tafadhari.

Weka # bac, au???
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

dah bahati za aina hii hazikuwepo enzi zetu.n'way kila la kheri
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Yes nahisi nakufaa mamy maana vigezo vyote ulivyovitaja ninavyo kabisaaa but tatizo langu ni moja tu,SINA HELA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom