Recent content by isiaka

  1. I

    JamiiForums Tanzania Zitto na Nchemba now on tbc

    mjadala huo nafuatilia kaz ipo hapo nan ni nan hapo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

    try to keep her bize mwana
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?

    Pole kaka. Nakushaur epuka kukaa peke yako, soma neno la mungu, fanya kaz kwa bidii,.kumbuka cku zote mwanamke ni pambo la nyumba na kuwa na kiasi.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nahisi naibiwa....................!

    msamehe bhana wote ni ndg kama jiran ipo siku hata kuhelp usiku kama unashida
  5. I

    JamiiForums Tanzania naomba mawazo yenu jf.

    asante kwa wale wenye mawazo positive na hao wengine poa kwa majibu yenu
  6. I

    JamiiForums Tanzania naomba mawazo yenu jf.

    ndugu zangu nataraji kupata jiko au mke wa kuoa sijui wenzangu ambao mpo katika ndoa naomba ushauri wa mambo gani nizingatie kwa huyo mke ili niweze mfaidi sio kujitui tena hyo ndoa.?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    pole sana mwanajamii navyo hona hapo mfate baba mwenye nyumba mwambie issue nzima alafu msikilize na huyo mfanyakaz wako muondoee hapo kwako maana hutakiwi kulipa baya wewe fanya jema muombee mungu hakuna njia nyingine ndio ishakuwa hvyo tayarkwa upande wangu ndio hayo tu pole sana.
  8. I

    JamiiForums Tanzania kwa nini chuki?

    wakulima itabidi tuache kumiliki hao wake sasa maana ni hatar sanaaa itakua
  9. I

    JamiiForums Tanzania kwa nini chuki?

    sio mtu lakin kuna mshikaj baada ya mafanikio yake kila mtu kitaa anamdis sa cjui kwa nin.....inakuaje hii wanajamii
  10. I

    JamiiForums Tanzania kwa nini chuki?

    samahani wanajamii eti kwa nini binadamu tunachukiana...?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Democratic

    Democratic Development..we have talk less and Do more..we have end wastages we see....
  12. I

    JamiiForums Tanzania hellow

    am proud to be member of JF....
  13. I

    JamiiForums Tanzania corruption

    poa nasubiria ilo jibu la hayo maneno
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mfupi ..

    nawe pia wekend njema na tunakutakia maisha marefu na baraka
  15. I

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

    kweli kabisa vitamu vinaamzia na herufi 'K' mfano...kuku..kitumbua na vingine unavyo fikilia wew hapo
Back
Top Bottom