Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?

ucjali ndugu ni jambo la kawaida kwa umpendae kwa dhati,la msing jiamin we ni mrembo au we ni mkali ndo mana ukapendwa nae hvyo ukishajiamin hautofanya tena kila asemalo bali mtaridhiana
 
Pole kaka. Nakushaur epuka kukaa peke yako, soma neno la mungu, fanya kaz kwa bidii,.kumbuka cku zote mwanamke ni pambo la nyumba na kuwa na kiasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom