Yeyote aliye save Job Description za hizi post, kindly aweke hapa au ani-PM.
Nili apply ila siku save JD za
-Business Application Admin
-Developer/Analyst:
Its good to have for reference
Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa....
Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1.
Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM wanazitumia kwamfano ushirikina,mapepo,wakuu wa anga,rushwa,ubabe wa Nguvu za dola n.k zishindwe...
huwezi kupata mafanikio makubwa katika maisha kama utakuwa muoga wa kuchukua maamuzi magumu na kuthubutu...
Waoga wa kujaribu/kuthubutu always wanabaki hapa hapo walipo
tatizo wafanyakazi wetu hawajitumi wakiwa kazini.. wengi hawafanyi kazi kwa kujituma, wanaweka masilahi yao binafsi mbele,shortcuts nyingi.
bila kubadilika haina maana kupunguza sikukuu. wenzetu wahindi wanasikukuu nyingi lakini hizo siku waliko kazini wanafanya kitu cha kueleweka.
huku ni kwenda kinyume cha mapenzi ya Mungu , hapo ndipo tunapokosa neema ya Mungu na tunapoadhibiwa na Mungu hapa hapa duniani, mfano njaa kali kutokana na ukosefu wa mvua.
its seems that is the only thing Tanzanians feel proud of. But it is completely helpless for us. That is their origin, we should stop criticizing them on this coz.
Mambo ambayo wao wanajisifia kwa namna moja au nyingine yanawasaidia. We should stop entertaining these ridiculous things and focus...
Maranyingi humu J.F na watanzania kwa ujumla tumukuwa tukiponda serikali ya ccm,lakini inapofika wakati wa uchaguzi wanaoenda kupiga kura sijui wanakuwa wapi.. too smart to queue and cast a vote? we need to change now, blame game wont help us .
wachaga wamekuwa kama zitto humu J.F. Kwani Tz kuna makabila mangapi mpaka kila siku wanazungumziwa wao tu. something fishy about chaggaz must be going on over here.
just a little common sense was quite enough to recognize that,the guy was lying to her. Ameanza na kuomba nauli, duh hukustuka hapo,kila akiwacliana naye the guy is talking about cash. haya ni matatizo ya kuoza sana na kutotumia common sense.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.