Slaa anaweza kushinda,watz tusikate tamaa mapema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa anaweza kushinda,watz tusikate tamaa mapema

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ishuguy, Jul 30, 2010.

 1. i

  ishuguy Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa....
  Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1.
  Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM wanazitumia kwamfano ushirikina,mapepo,wakuu wa anga,rushwa,ubabe wa Nguvu za dola n.k zishindwe.
  Pamoja na kumhamasisha ndugu,jirana&rafiki inatupasa watz kwa ujumla tushirikiane kumuomba Mungu atuweze kumpata kiongozi bora asiye endesha nchi kwa ushirikina.
  kutumia ushirikina ni kinyume cha mapenzi ya Mungu... laana& Hasira ya Mungu iko juu ya washirikina..
  Swali la msingi la kujiuliza ni Hivi sasa Maendelea yatapatikana vp chini ya laana ya Mungu?

  Tunampa lawama kikwete amezidisha ugumu wa maisha na Umaskini...sisi tumemchagua na yeye amependelea kutumia wakuu wa anga kutuongoza,tukimchagua tena inamaana tumekubali kuendelea kuongozwa na wakuu wa anga...lakini tukumbuke bila ya neema&baraka ya Mungu hamna maendelea.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Muhimu sio kushinda....
  Muhimu uchaguzi uwe huru na wa haki....
  Ashindeau ashindwe kwa kura za haki
   
 3. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  True that what we need is determination and focus,so we have to spread the word to others.Good on you
   
 4. p

  pekupeku Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  word mkuu

  tanzanians should decide this year for the benefit of next generation....change is here
   
Loading...