Kuku wa "kienyeji asili" andiyo lakini asili ya wapi? Tanzania, Malawi, Msubiji au nchi nyingine yoyote ya africa, maana hawa wote ni asilia wanaotofautiana tu kwa sifa flaniflani kutokana na nchi husika mfano wengine wanene, wanataga tu hawaatamii, wanataga na kuatamia, miguu mirefu n.k...