Habari nilizogusiwa juu juu tu ,kumbe Dr Shein amemteua Mwanasheria Mkuu Mpya wakati mwanasheria huyo hayupo nchini ,yupo majuu na huenda alijiripua huko japo alikuwa ni chini ya Mwanasheria alieondoshwa ,alikimbia mapema baada ya kuona kuna mtikisiko katika bunge la Katiba na haswa baada ya Othman kukacha kuhudhuria.
Hizo ni tetesi tu kuwa jamaa hayupo nchini na hakuna tamaa ya kurudi tena Zanzibar ,ila kama kuna mwenye uhakika kuwa yupo si vibaya akanisahihisha.
View attachment 191560
Ndie huyu anaitwa Said Hassan Said.
Mwaka 1964 wakati Tanganyika inaimeza Zanzibar mwanasheria mkuu wa Zanzibar Dourado alitimuliwa, mwaka 1984 wakati Tanganyika inataka kuimiliki Zanzibar , Rais wa Zanzibar Jumbe alifukuzwa, mwaka 1988 wakati Tanganyika ikishona koti lake waziri Kiongozi Seif Shariff Hamad alifukuzwa , mwaka 2014 wakati Tanganyika ikishona kanzu ya Muungano badala ya koti mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud amefukuzwa kazi ......tarakuri ......
Habari nilizogusiwa juu juu tu ,kumbe Dr Shein amemteua Mwanasheria Mkuu Mpya wakati mwanasheria huyo hayupo nchini ,yupo majuu na huenda alijiripua huko japo alikuwa ni chini ya Mwanasheria alieondoshwa ,alikimbia mapema baada ya kuona kuna mtikisiko katika bunge la Katiba na haswa baada ya Othman kukacha kuhudhuria.
Hizo ni tetesi tu kuwa jamaa hayupo nchini na hakuna tamaa ya kurudi tena Zanzibar ,ila kama kuna mwenye uhakika kuwa yupo si vibaya akanisahihisha.
Wewe kweli ni kilaza. Jana ulisema umewaona mabalozi leo unakuja na lingine..Hadithi hadithi...hadithi njoo...UONGO WA CUF NJOO...Muongo mzushi mkubwa wewew. Rais kabla hajamteua mtu anamwita Ikulu na kumpa taarifa halafu ndio anatangaza uteuzi wake.. Labda mwanasheria wa CUF ndiye aliyejilipua...(tetesi)
Mwaka 1964 wakati Tanganyika inaimeza Zanzibar mwanasheria mkuu wa Zanzibar Dourado alitimuliwa, mwaka 1984 wakati Tanganyika inataka kuimiliki Zanzibar , Rais wa Zanzibar Jumbe alifukuzwa, mwaka 1988 wakati Tanganyika ikishona koti lake waziri Kiongozi Seif Shariff Hamad alifukuzwa , mwaka 2014 wakati Tanganyika ikishona kanzu ya Muungano badala ya koti mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud amefukuzwa kazi ......tarakuri ......
hapa Mkuu unijuze kati ya waTg na waZenj nani wabozi?Wakati Tanganyika inaimeza Zanzibar mwanasheria mkuu wa mwaka 1964 Dourado alitimuliwa , sasa Tanganyika imesababisha tena Othman kufukuzwa .......
Kuludi ndio nini? Akh, hata sitaki kusoma. Mwatia kichefuchefu na Kiswahili chenu cha