Nchi ina utaratibu, kuna sheria na huyo Tundu anazijua vizuri tu, tusilete mambo ambayo hayana msingi, Lema alikataa kutoka gerezani, kesi inasikilizwa tar 14 nov, ina maanisha tar 14 ndo atapata dhamana, sasa kwann Lema atoke pasipo kufuata sheria, au ndo cdm ikichukua nchi mambo yatakuwa...