Recent content by isambe

  1. isambe

    Natangaza rasmi kuanza utabiri

    Swadakta,kama ni mwamba kweli atupe ya mbele huko Duniani
  2. isambe

    Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Wakati shetani anasema hakuna mwanadamu awezae kushika sheria za mungu.Kulikuwa na wanadamu wengine zaidi ya ADAMU na HAWA?.Na kutoka kipindi Shetani alivyo fanya huo uovu ni Muda gani Mitume mingapi na wanadamu wangapi walipita mpaka Yesu anazaliwa na Mungu anamtoa kwa ajili ya Dhambi zetu.Kwa...
  3. isambe

    Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Kama huyo malaika alikuwa na ushwawishi kwa malaika wengine,kwa nini asingemuwai yeye kabla ya kuleta athari hiyo,ambayo anajua kabisa itamchukiza?,Kwa nini asingemuwahi kabla?.
  4. isambe

    Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    I doubt sababu tume abandon Miungu yetu ya Asili na kupokea ya wageni.Wametuacha tunyooshwe nayo
  5. isambe

    Wapi naweza pata SAA hii Casio G-Shock DW5600E 1V watch?

    Agrrey st,inaanza station inavuka mnazi mmoja inaenda mpaka mission kota.Unatakiwa umpunguzie zoezi la kutembea kwa kumpa intersection,mfano- Agrrey na Indira gehandi st. ,na market st. na Jamhuri st. na Libya st.na Bibititi st na kadhalika.
  6. isambe

    Nini kimeiua Tips Lounge?

    Mbona nimesikia mwenye nayo alikimbia nchi kuna tukio alifanya kukwepa mkono ikabidi atoroke .
  7. isambe

    Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    Duuh,viumbe nyie yaani mnatumia bundle zenu kujadili jinsi ya kutoa kiumbe uhai,hivyo vifaranga vikikua utachinja ule na pilau na firigisi zake,utajisikiaje pale umeshika tonge halafu mbwa wa jirani anabweka wewe wakwako umempa sumu ili uje kulifaidi jogoo peke yako?.Jaribu kutengeneza banda...
  8. isambe

    Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Ngumu kumesa!!.Wakati udhalilishaji huu wote uliousema hapa ukitendewa,huyo mkeo alishindwa kuthibitisha kuwa wewe ni mumewe na unamletea hela?.
  9. isambe

    Wakati Nyerere na Familia yake (Mke na Watoto wakishiriki vita ya Kagera miaka hiyo) Marais waliofuata wanashirikiana na familia zao kutufisadi

    Kwanza uliza hiyo vita ya ya kagera ilikuwa na umuhimu wowote kwa maslahi ya taifa letu au ilikuwa ni maslahi binafsi?
  10. isambe

    Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

    Vidudu mtoni hivyo ameletewa na mshikaji wake kutoka marekani 🤣🤣🤣.
  11. isambe

    Zambia yalalamikiwa kwa kujimilikisha kazi ya kubeba Mizigo Bandari ya Dar es Salaam

    Hii issue ime raise kipindi hiki ambacho wasafirishaji wengi wakubwa huko Tanzania kuhamia Zambia,nina imani ni wao ndio wanao lobby hili jambo,huyo lukumay anajua hili,wazambia kipindi za nyuma gari zilizokuwa zikija huko Tanzania kwa wingi ni Nsembo Trans,wakakata mguu huko sababu wanasema ni...
  12. isambe

    Aliyeielewa hii Ramani anisaidie

    Hiyo ni mahsusi wa wale wenye choyo ya chakula,wanajipikilisha wanashtuana kimya kimya wanapiga tonge,nyie wageni mmewashiwa luninga mnaangalia tamthilia na chupa ya maji ya uhai .
Back
Top Bottom