Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Kulikuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye maelezo ya wanasiasa wakati wa usitishaji wa mkataba wa awali.

Kuna maeneo yanahitaji kufanyika negotiations ili terms ziwe bora zaidi kwa taifa letu. Hasa kwenye kuhakikisha kwamba hii bandari iwe kwa ajili ya transit cargo. Yaani mizigo inayopita hapo iwe ni ile tu inayokwenda nchi nyingine au inayotoka nchi nyingine na kwenda nje ya Tanzania.

Makubaliano yawe clear kwamba mizigo YOTE inayoishia Tanzania na ile inayotokea Tanzania itapitia bandari zetu zilizopo na sio hii ya Bagamoyo.

Mizigo ya SASA inayopita Tanzania kwenda nchi mbalimbali na ile inayotoka nchi mbalimbali kwenda mataifa mengine kupitia Tanzania iachwe kama sehemu ya ushindani.

Yaani iruhusiwe wateja kuchagua ipi itumike. Hii itaweka hamasa ya ushindani kwa bandari hizi ili kila moja iwe bunifu katika kutoa huduma bora. Hapa inaweza kuamuliwa kwamba tariffs zote ziwe sawa kwahiyo mteja achague upande wenye huduma bora.

Model ya uwekezaji ni nzuri maana inaondoa direct liability kwa taifa. Mwekezaji hapa analo jukumu la kuhakikisha analeta mzigo wa kutosha ili apate faida. Na kimsingi ni jambo la kushangaza sana kukataa uwekezaji wa USD 10B kwa nchi kama yetu. Inatakiwa kufanya professional negotiations ili kufanikisha uwekezaji.

Uendeshaji wa hii bandari LAZIMA uwe wa pamoja, kuanzia bodi na hata executive and non executive directors. Chombo kiundwe ambacho kitahakikisha portion ya tariffs kwa ajili ya Tanzania zinakusanywa kwa kila mzigo utakaopita hapo. Hii itaamuliwa lakini angalau 20 percent ibakie Tanzania. TRA inaweza kuunda department maalumu itakayokuwa hapo kwa ajili ya kazi ya kukusanya pato la serikali.

Huu mgawanyo au ule utakaoafikiwa na pande zote basi utahusisha maeneo yote ya mradi, yaani bandari, njia ya usafirishaji na kituo cha teknolojia.

Uwekezaji huu ni mkubwa hivyo itolewe hati moja ya miaka 33 na halafu baada ya hapo miaka mingine 33 ambapo serikali itamiliki asilimia 50 na mwekezaji asilimia 50. Baada ya miaka 66 mradi wote utakuwa mali ya Tanzania.

Hii ni general idea tu kwa yale yenye maslahi kwa taifa. Wataalamu wetu wa bandari, usafirishaji na kodi wanayofursa ya kuboresha zaidi.
Good
 
Halafu mkuu taarifa unayopata wewe kwenye media siku ya leo basi mara nyingi inakuwa mezani kwetu karibu wiki nzima kabla.

Mfano maamuzi ya leo wewe unaona yametolewa pale wakati anaongea live? Kama hivi ndivyo unafikiri basi, 'karibu upande wa pili'.
Mkuu wewe ni nani kwenye serikali ya Tanzania?
 
Nimekusoma mkuu

Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.

Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.

Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.

Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.

Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.

Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.

Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.

Aiseee
 
Binafsi nimetaka sana kujua maana yake..

Ama ndo hawa waseminari wanaopokezana na hawa waislamu?
Mkuu salama!

Naomba nisema kwa uchache sana kwenye hili.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya NCHI na TAIFA.

NCHI, Mwenyezi Mungu aliumba nchi, ambayo ni

ardhi, ile ardhi Mwenyezi Mungu hakuiwekea
mipaka.

Tukija kwenye swali lako TAIFA, tunapozungumzia

taifa tunazungumzia Watu. Mimi na wewe., Yule

na Huyu. Baada ya kuwa nchi imeumbwa,

akaumbwa Adam ambaye ni Taifa. Taifa likaenda

Kuitawala nchi na kuiwekea mipaka ( ardhi).


Hivyo basi, ukija kwenye nembo ya nchi yetu kuna

Bibi na Bwana na maneno yanayosomeka

"UHURU NA UMOJA"

Tunaposema UHURU, tunamaanisha Uhuru wa

NCHI na Tunaposema UMOJA, tunamaanisha

umoja wa TAIFA.

Lakini kwanini TAIFA kama Taifa lipewe alama ya

TWIGA?


Shukrani!
Mkuu, TWIGA ana sifa gani?
Anzia hapo
 
Nimejifunza haya:-
1.kanisa la mtakatifu petro sio kanisa kama kanisa Bali ni sehem ya ofisi ya kijasusi ya kidola hapa nchini!!na ina compromise na Dola kamili ambayo ndio hiyo The state!!
2.Kesi ya mbowe ni ya kubumba ili kumzuia kuharakisha mchakato wa katiba mpya ambao Dola imepanga ufanyike mwakani!!!Mbowe ataachiwa huru hapo baadae mwakani au mwisho wa Mwaka!!!
3.Mchakato wa katiba mpya utaanza 2022 na watakao pinga wataondolewa kimya kimya!!!
4.Katiba mpya itakamilika na kuwa rasmi kuanzia 2023 kuendelea na uchaguzi wa 2025 utafanywa kwa katiba mpya!!!
5.Inawezekana 2025 chama cha upinzani kikatwaa nchi kwa mfumo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!!
 
Back
Top Bottom