Kwa lugha ya kitaalamu tunaita "goroko77 anataka kutembelea nyota"Aisee tukishirikiana kufanya collaboration itakuwa POA mnk na mm siyo haba kuona yajayoo na yataka vyo kuwa
Tumia Akili sio mtabiri wala Bwana Ndoto, yeye anaelezea mipango ya deep state, na huwa inabadilika endapo kuna mabadiliko yeyote kwenye system.Niliwaambia acheni kumkejeli mshikaji huyu mwamba hakoseagi mkanikejeli na mie; sasa na kuna mwengine anatumia ID ya Tumia Akili hawa wamba wawili ni noma kwenye utabiri tafuteni ID ya tumia akili muone alichoandika mie sisemi kitu
Swadakta,kama ni mwamba kweli atupe ya mbele huko DunianiTumia Akili sio mtabiri wala Bwana Ndoto, yeye anaelezea mipango ya deep state, na huwa inabadilika endapo kuna mabadiliko yeyote kwenye system.
Nilisoma thread ya utabiri huo. Kwa maelezo aliyotoa huo mwaka, anasema alimwona Magu akiwa amekonda sana huku akihudumiwa na mkewe. Pia kuna watu wakawa wanasema si alijifanya mjuaji sana! Mwenzake aliyemtangulia alikuwa anafanya hivi na vile lakini yeye anajifanya mjanja kwa kufanya anavyojua yeye. Kwa ufupi kasema ugonjwa ni wa kutengenezwa. Hebu kasome mwenyewe huo uzi, search google "ndoto zilizokamilika jf"Kwenye ndoto yako ya magu kufariki,kwenye ndoto pia uliota ugonjwa ndo ulimuondoa?