Recent content by Isac M

  1. Isac M

    Droni za Iran zaleta taharuki Ukraine

    Mkuu Iran hayupo BRICS , ni India
  2. Isac M

    Je, naweza kusoma Software Engineering kama nilisoma EGM?

    Kapige shule, hiyo M kwenye comb inatosha kabisa
  3. Isac M

    Tofauti na K.koo, ni maeneo yapi DSM yenye mzunguko mkubwa wa pesa?

    Mbagala, Tegeta, Makumbusho, Kigamboni Ferry, Around Magufuli Bus Terminal, Manzese.
  4. Isac M

    Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Kwanza hajajibu kisomi na kitalaamu, amejibu kisanii, pili unaonekana wazi uko biased, unamtetea ,hoja ni visingizio kila kukicha, kama hawezi aseme , Mamlaka ziteue mtu mwingine. Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  5. Isac M

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Siungi mkono hoja, ila ukweli ndio huo, Tanzania inanuka rushwa, rushwa imefanywa kama sehemu ya maisha, lazima tukubaliane na uhalisia. Hii hoja ni fikirishi sana ,maana kuna watu hawapati haki zao bila kutoa kitu. Sema solution sio kuibariki bali tuna haja kama nchi kutafuta mwarobaini wa...
  6. Isac M

    Barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mpaka Kibaha, trafiki mmeshindwa kudhibiti ajali?

    Hoja ni kwanini daladala na bajaji hazipaki kwenye vituo palipo na nafasi kubwa wanapaki karibu na zebra, wakipaki kwenye parking ya kituo abilia wataenda huku, na kuacha barabara ikiwa wazi kwa magari mengine kupita, ajabu daladala na bajaji hazipaki sehemu sahihi na trafiki wapo wanaangalia as...
  7. Isac M

    Barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mpaka Kibaha, trafiki mmeshindwa kudhibiti ajali?

    Kwa hiyo waenda kwa miguu wakimbizane na magari kuvuka barabara kama digidigi, hii ndio IQ kubwa kwako. Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  8. Isac M

    Barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mpaka Kibaha, trafiki mmeshindwa kudhibiti ajali?

    Sasa kama sio kazi ya askari, wapo pale wanafanya nini? Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  9. Isac M

    Barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mpaka Kibaha, trafiki mmeshindwa kudhibiti ajali?

    Hii barabara imekithili kwa ajali zinazopoteza maisha ya watanzania, na wengine kuachwa na ulemavu. Kwanini daladala, bajaji hazipaki kwenye sehemu ya kituo, zinapaki barabarani ilihali vituo ni vikubwa? na ajabu askari huwepo wakiangalia tu. Leo imetokea ajali Kimara Suka iliyopoteza maisha...
  10. Isac M

    Tanroad mnafeli wapi? Daraja siku 3 bado halipitiki?

    Umeongea point, na kitu kizuri zaidi, ume kosoa na kutuoa mapendekezo yako, tofauti na watu wengi, hii ni aibu kwa wahandisi wetu na wahusika wore, hii barabara ni muhimu sana kwani inaunganisha kanda mashariki na kanda za kati, ziwa, magharibi na nchi za mipaka ya magharibi/kasikazini magharibu.
  11. Isac M

    Msaada wenu Wakuu, baba yangu hataki kunilipa deni langu

    Du 32yrs, bado unaishi nyumbani, achana na hilo deni, jipange kwa mda kama miezi 3 hadi 6, upange ujitegemee. Utakua na nafasi ya kufanya maendeleo na kichwa kitachangamka kuliko kukaa home unaji limit uwezo wa kuendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Isac M

    UDART mbona hamtangazi kuzidiwa?

    UDART imeshakua kichefu chefu mkuu ibanezafrica Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Isac M

    Swali kuhusu kozi hizi za IT

    Tofuati ya kwanza Computer ngineering ni miaka 4, na computer science ni miaka 3.ila kwenye soko la ajira wanafanya kazi moja.
  14. Isac M

    Idara ya Uhamiaji Arusha imejaa uozo, mamlaka husika ichunguze

    Mkuu umeweka quote fupi ila ina maana sana kwenye taasisi karibu zote Tanzania.
Back
Top Bottom