LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,924
Nimelazimika kuandika kuhusu Idara ya Uhamiaji Arusha kutokana na mwenendo wao wa kazi.
Wahudumu wa counter katika hali ya kawaida wanatakiwa wawe Customer Care wazuri kwa wanao hitaji huduma mahali popote.
Cha ajabu wahudumu walipo counter za Uhamiaji Arusha hawana Customer Care. Pia ni wala rushwa wakubwa.
Nijuavyo kuijaza for kuomba hati ya dharura unatakiwa kulipa 20,000/ tena upewe control namba ukalipe mwenywe
Lakini wahudumu wa Arusha hudai shs 30,000/ na kukuambia ufuate pass baadae au kesho yake.
Kama ni Passport kubwa 20,000/ unalipa kwenye mtandao. Ukipeleka pale uhamiaji unadaiwa 230,000/ yaani malipo ya pass 130,000/ na 100,000/ anachukua anae kuhudumia.
Najiuliza, hivi TAKUKURU ARUSHA wapo? TISS ARUSHA wapo!! Zaidi je Ofisa Uhamiaji Mkoa haoni haya yanayo endelea mbele ya macho yake.
Naomba Waziri wa mambo ya ndani aangalie kwa jicho la karibu huu wizi unaoendelea hapa Uhamiaji Arusha.