Recent content by Irisacha sacha

  1. Irisacha sacha

    Asante Mungu Kwakunipa Ajira

    Nianze kwa kukupa Pole hasa wakati ule uliposota na kutafuta Kazi,Hata mie hiyo Hali ilinipata Ndani ya mwaka mzima nasaka Kazi,Ilifikia hatua napata mlo mmoja tu kwa kuwa sikuwa na hela ya kujikimu,Ila Leo nami naungana Nawe kumshukuru MUNGU kwa wema alionitendea,Vijana wenzangu tukipata Kazi...
  2. Irisacha sacha

    Msaada Mashairi Haya!!!

    Wimbo unaitwa Kolza umeimbwa Na General defao matumona,Yuko nairobi kwa sasa akiendeleza pilika Za maisha ingawa hana tena umaarufu Kama miaka ile ya nyuma ulipomfahamu kupitia nyimbo zake.
  3. Irisacha sacha

    Nimeoa mwanamke mkali naomba msaada nifanyaje

    Muraaaaaa! Acha swaga zenu Za mjini mbane,Sio mkulya ni mkurya,Arooooo mghuuu pande,Mghuuuu Sawa,Uighure?::
  4. Irisacha sacha

    Verossa inauzwa.

    Chassis no.GX 1106034401,Engine no.1GEAA4401 Engine Capacity 1980 More Detail call 0717/0787/0767-272829
  5. Irisacha sacha

    Verossa Inauzwa,Gharama nafuu usajili wake ni T 6.. CP. Ni Pm nikupe more Detail.

    Year Manufacture 2001,Chassis No.GX 1106034401,Engine No. 1GEAA4401,Engine Capacity 1980,Fuel Petrol,Imported from japan, More detail Hotline 0717/0787/0767 272829.
  6. Irisacha sacha

    Verossa Inauzwa,Gharama nafuu usajili wake ni T 6.. CP. Ni Pm nikupe more Detail.

    Ok Wakubwa nitafanya hilo zoezi muda si mrefu,Namba darasa namna ya Ku Upload picha Kwa Jf.
  7. Irisacha sacha

    Verossa Inauzwa,Gharama nafuu usajili wake ni T 6.. CP. Ni Pm nikupe more Detail.

    Iko Poa sana rangi Nzuri na Ingine haijaguswa! Ina killometre 77345
  8. Irisacha sacha

    Clouds FM: Mfano wa jinsi ubunifu ulivyo na faida

    I hate Clouds Fm,Clouds Tv na Ma boss Wao,Ukiifatilia kwa undani zaidi,Clouds ni wauwaji wakubwa wa vipaji vya Muziki wa bongo,Unaikumbuka Smooth Vibes ilio kuwa ukiwa jumuisha Lady Jay D,Fina Mango,Ray C,Mr. Paul na wengine? nini kiliwasibu huko hadi kufikia Jd Kupata JOTO HASIRA? Unakumbuka...
  9. Irisacha sacha

    Huyu ni mke wa aina gani?

    Jaribu kuchunguza zaidi kabla hujamchumbia! Labda alikuwa Changudoa Au Poozeo la mtaa.
  10. Irisacha sacha

    Wenye viti wa CHADEMA,CUF na NCCR Mageuzi kutinga ikulu Jumanne

    Hakuna ajenda ya siri hapo,Hivi vyama vilivyobaki nyuma Kama UPDP,UDP,NLD,TLP,ADC.......Na vingine vinavyoibuka wakati wa uchaguzi mkuu ili vipate ruzuku,Tangu awali hawakujiunga na vyama vya Nccr,Chadema,Cuf Sasa iweje waalikwe ukulu kwenye mazungumzo?
  11. Irisacha sacha

    msaada!

    Kaka mbona hao ni wengi saaana,Mie kwa siku naweza pokea maombi ya wawili au watatu,Hawana lolote zaidi ya kukuhadaa na kujidai wamefurahishwa na Profile yako ila wanaomba uwasiliane nao kwa mail.
Back
Top Bottom