Recent content by Iriora

  1. I

    JamiiForums Tanzania CDM inajifunza kwa makosa ya CCM

    Hukumu wote tunajua haiwezi kuwa sahihi, tunapoteza mda kufikiria yasiyo sahihi na kuacha yaliyo sahihi. Watanzania huu mda ni wa kuact sio kulalamika. CCM wame act ndio maana tumevuliwa ubunge, CDM wanajibu matusi ya Kibajaji kwa kulalamika. Mimi huu naita unafiki kuto kuwepo wananchi walio...
  2. I

    JamiiForums Tanzania CDM inajifunza kwa makosa ya CCM

    Sheria ni tofauti na hisia za wanachi, ukifuatilia kesi nyingi duniani za ushaidi wa wazi na watuhumiwa wanashinda. Wa CDM kunatofauti kubwa kati ya hisia na sheria, huu sio wakati wa kushangaa na kulalamika ni wakati wa kujifunza na kukubali mabadiliko. Tunapo lalamika hatuna ushaidi wa Lema...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Paypal registration

    Nenda fb tafuta group linaitwa computer science & I.T student tatizo lak litakua limeisha
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nauza Lamborghin Gullardo

    Kudadadeki
  5. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya chaguzi za udiwani

    Hayo yanayotokea Dodoma ni ukosefu wa Elimu
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwa uchaguzi huu wa Arumeru Mashariki wafuatawo wamevuna walichopanda

    Huyu Lusinde aka kudadadeki sio waku vumilia hata kidogo, hapa mimi nashauri sheria mkononi ichukue mkondo wake
  7. I

    JamiiForums Tanzania Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

    Mapinduzu daima
  8. I

    JamiiForums Tanzania uraia

    Je tuendelee kutegemee uchaguzi ili kupata uongozi bora?
  9. I

    JamiiForums Tanzania uraia

    Nilimaanish kuelewa
  10. I

    JamiiForums Tanzania uraia

    Ninacho maanisha ni kuto kuelewa wanao shabikia CCM 2012 ndio kipimo cha kuelewa cha watanzania kilipo ishia?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki

    Haya mambo yataisha lini lakini na wanao fanya hayo wanachukuliwa hatua gani au tuchukue sheria mkoni kama tunavyo wachom vibaka
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wanafanya usanii, Zitto Kabwe aendelea kufungua matawi CDM - Mwanza.

    Nimeipenda hiyo 2045
  13. I

    JamiiForums Tanzania uraia

    Hivi ni kweli siasa ndio kipimo cha huelewa, busara, kukubali kukandamizwa in Tanzania?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

    Asante kaka
Back
Top Bottom