Paypal registration

luhanya

Member
Apr 1, 2012
17
0
I WISH GET HELP FROM EXPERTS OF THIS GAME,I'M TRYING TO LINK MY CRDB TEMBOCARD VISA BUT THE CARD NUMBER IS BEING REFUSED THOUGH I'M WRITTING THE CORRECT ONE AND IT IS DISPYING THE FOLLOWING MESSAGE
'Card Number: You have entered an invalid or partial credit or debit card number. Please check your entry and try again."
ANY BODY TO HELP ME WITH THIS NUMBER?
 
Nenda fb tafuta group linaitwa computer science & I.T student tatizo lak litakua limeisha
 
kuhusu mambo ya kulipia online lazima uende bank yako ili uwaconsult ili wakupe form uijaze ili kuitoa benki kwenye hasara yoyote au utapeli wowote utakao kupata..
 
CRDB wanazingua sana..unaweza fanya yote hayo lakini inakuwa ngumu,,,nimefanya na Barclay's bank imewezekana mara moja tu
 
CRDB wanazingua sana..unaweza fanya yote hayo lakini inakuwa ngumu,,,nimefanya na Barclay's bank imewezekana mara moja tu

barclays mwaka jana ilinkatalia, unatumia card gani ya barclays? Pia crdb ina usumbufu mwingi sana including blocking account yako mara kwa mara after payment, sometimes huwa wanakukata mara mbili, hadi upate msaada inakuchukua muda sana!
 
Ni hii barclays VISA electron ya blue in colour( mine is person account)...ingawa sasa hivi wana upgrade yake, hakikisha una pesa ambayo inaweza kutoka maana wana charge equivalent ya USD 1.95 ambayo watarudisha ukishaverify baada ya kuingiza four digit secret code zitakazokuwa kwenye hiyo detailed transaction ilifonyanyika..

Good luck
 
Back
Top Bottom